Kuna kijana nime pata taarifa kuwa amejichoma kisu leo maeneo ya tegeta kuna mwenye update za tukio !! je sio member humu ndani
Dah aisee mkuu MAYALA mpaka sasa sijui yupo hatua gani ?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
@mayala ndo mtoa roho nini bwashee ?[emoji2][emoji23][emoji16]Kuna kijana nime pata taarifa kuwa amejichoma kisu leo maeneo ya tegeta kuna mwenye update za tukio !! je sio member humu ndani
Dah aisee mkuu MAYALA mpaka sasa sijui yupo hatua gani ?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi wa taarifa ya msiba Kuna mtu aliweka picha za mazishi, hebu pita kuleBado dear. Najaribu kutafuta group nililomfahamu bado sikumbuki jinsi ya kuwapata members wake.
Kuna mmoja kesho naweza pewa mawasiliano yake na mtu ili nipate uhakika wa hii habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi wa taarifa ya msiba Kuna mtu aliweka picha za mazishi, hebu pita kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah poa aisee, naomba ukipata uhakika unijulisheBado dear. Najaribu kutafuta group nililomfahamu bado sikumbuki jinsi ya kuwapata members wake.
Kuna mmoja kesho naweza pewa mawasiliano yake na mtu ili nipate uhakika wa hii habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi wa taarifa ya msiba Kuna mtu aliweka picha za mazishi, hebu pita kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mfano mimi sijaiona na sikuwa ninajua jamaa amejinyonga, all in all R.I.P Mpauko kama uliikosa amani duniani we pray akaipate huko aendapo, if at all there were no other options to explore death is inevitable
It's very unfortunate kijana, member mwenzetu kujitoa uhai.
For some reason, sijawahi kuona uzi wake hata siku moja hadi leo. Naumia kutomsoma mapema.
Pumzika kwa amani mkali.
Hata wewe unaweza kuniambia tu nikakushauri......RIP Robin!Mwache akasimulie mbele ya safari lkn utakuwa ushashusha mzigo na kupata relief. Pia wenye akili watamuona ana shida kichwani ya sirini kuyapeleka hadharani!
Sent using Jamii Forums mobile app