Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Basi Endelea kufundisha hiyo mdau fc ya h1po kijijini kwenu yanga ni timu kubwa huwezi kujua chochote kuhusu mipango yake na hutokuja kuijua milele
Mdau fc ipo Dunia nzima....na nimekukumbka ww kwenye usahili tulipopita kijijini kwenu tulichukua zaidi ya wachezaji 50 wa majaribio...Ila kwa masikitiko makubwa ww hukuweza kufuzu sababu kuu ulikuwa unacheza MAYENU TU!! Kama upo Congo pole!!....Shubaamit!!!
 
Siku akipoteza ndio watu Kama ww mnakuwa wakwanza kuja HAPA jukwaani na kulia Lia bila sababu ya msingi, Leo nimekuja na nyuzi hii hapa JF mna panick bila kutumia akili

Kwahiyo ulivyo mpumbavu hujui kama timu yoyote duniani inaweza kufungwa? Haya kama wewe unaujua kweli mpira njoo na list za timu duniani zisizofungika.
 
Hivi kwa mfano nikuulize swali la kizushi TU, Unahisi Yanga atachukua ubingwa milele??, na akikosa utasema utatoa sababu gani ya msingi???, achaga utoto jibu kwa kutumia akili

Umeenda mbali sana huko kwenye kuchukua kombe milele, bali hata kufungwa anaweza kufungwa. Na kama unalijua hilo usingekomaa kusema eti siku Yanga akifungwa tutakubali maneno yako. Yaani unadhani kila mtu ni mpuuzi kama wewe unayetaka kuona kama Yanga kufungwa ni la ajabu. Yanga hata msimu uliopita chini ya Gamondi ilifungwa na Azam na Ihefu hakuna aliyeshangaa kwasababu ndio mpira ulivyo.
 
Hapana sitaraji hivo,mechi ni nyingi mno wachezaji wanachoka pia
 
Kwahiyo ulitaka gamundi adumu mile HAPO jangwani?
 
Yanga imekuwa tishio na imejinasibu kuwa timu bora Afrika, Jambo linalopelekea vilabu vingine vidogo kama Kengold, kmc, simba,azam n.k kuikamia wakijua wanacheza na timu kubwa
Itoe Simba hapo kwenye list yako Uchwara
 
Msimu uliopita Yanga hadi si alipoteza kwa Ihefu kama sijakosea mlisema Yanga ishajuliwa!!
What happened?

Makocha hua wanafanya homework remember that.
 
Kuna watu walikupinga
 
Hongera
 
We mchawi.
 
Nilikupinga kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…