Nayapenda makabila yanayoenzi matambiko ya kimila kwani matambiko sio ushirikina

Nayapenda makabila yanayoenzi matambiko ya kimila kwani matambiko sio ushirikina

n

Ni tafasiri yako hiyo sikupingi Mkuu.

Ila tambua kuwa kuna watu wanakuwa na msaada sana wakifa zaidi ya walivo kuwa hai.
Kuwadharau walio kufa ni kuwakosea adabu sana.
Sasa huo uwezo wa kusaidia wanaupata vp na kutoka kwa nani baada ya wao kufa?
 
Sasa huo uwezo wa kusaidia wanaupata vp na kutoka kwa nani baada ya wao kufa?
Wanakua bado wanaishi katika ulimwengu wa kiroho, matambiko yanakaribiana sana na ushirikina Mkuu, tambiko ni soft language

Wazazi wako wanajukumu la kukutunza, kikulinda wakiwa hai na hata wakifa na kama wako hai wenye jukumu ni wazee wengine wa ukoo waliotangulia katika ulimwengu wa roho

Mkuu matambiko ni mhimu sana.
Ya kale ni dhahabu.
 
I'm not aware...... really....!!!!
]
Hata hilo pia mm sfahamu ila chamhimu jua

Wazee wetu wakifa wanakua bado wanaishi katika ulimwengu wa kiroho , pia jua matambiko yanakaribiana sana na ushirikina Mkuu, tambiko ni soft language kama ulivonena hapo swali (anaye pinga hilo atakuwa katukosea adabu)

Jua pia,
Wazazi wako wanajukumu la kukutunza, kukulinda wakiwa hai na hata wakifa na kama wako hai wenye jukumu ni wazee wengine wa ukoo waliotangulia katika ulimwengu wa roho

Mkuu matambiko ni mhimu sana.

Ya kale ni dhahabu.
 
Wanakua bado wanaishi katika ulimwengu wa kiroho, matambiko yanakaribiana sana na ushirikina Mkuu, tambiko ni soft language

Wazazi wako wanajukumu la kukutunza, kikulinda wakiwa hai na hata wakifa na kama wako hai wenye jukumu ni wazee wengine wa ukoo waliotangulia katika ulimwengu wa roho

Mkuu matambiko ni mhimu sana.
Ya kale ni dhahabu.
Nimeuliza huo uwezo wanaupata vp? kwa sababu hapa kuna ile hali ya kuonesha kuna uspesho fulani kutoka kwa hao wazee na ndiyo maana naulia huo uwezo wanaupata.
 
Walichotuzidi wenzetu Mila zao wamezitunza ktk maandishi kila kizazi kinaona na kusoma jinsi ya kufanya matambiko na wapi kwa kwenda kufanyia, sisi waafrika mababu wameondoka na matambiko yao tutafanyia wapi hayo matambiko? na jinsi gani ya kufanya kwahyo hatuna budi kukimbilia kwenye Dini na mila za wenzetu
 
Najivunia sana mm kufahamu matambiko, sehemu za kuyafanyia, hatua na masharti ya kufuata .

Ukidhani ni ujinga kujivunia au ukaenda mbali ukanitusi , utakuwa umenikosea adabu sana
 
Just Awesome. You made my day. Najua wachaga wenzangu watapita na kusoma hapa kimya kimya .....

Ni kweli sisi wachagga tushaacha ayo mambo ya ovyo ovyo,kwasasa tunamjua Mungu na tunamyumikia kwa nguvu zote,muda si mrefu utasikia wanalalamika jamani wachagga wanaokoka mnoo,nawashauri na makabila mengine mchangamkie fursa hii adimu sana,hii ni neema ya ajabu,msiache ipite,jitahidini mtufikie au kutupita kwa kuokoka na kumpenda Mungu.
 
Ni wewe umeacha ila mm hapana,

Matambiko ni mhimu sana Mkuuu

Ya kale ni dhahabu
 
Matambiko yenyewe ndo hayaa
Screenshot_2018-07-09-15-10-09.jpg
 
Matambiko is equivalent to Ushirikina sema yanawekwa katika soft language.

Matambiko ni mabaya kuliko uchawi,nitaelezea.

Mtu akifanya uchawi anaweza kuacha na kumrudia Mungu na ikaishia hapo.Lakini matambiko yanahusisha mikataba,maagano, na vifungo vya vizazi na vizazi pamoja na shetani.
 
Ni wewe umeacha ila mm hapana,

Matambiko ni mhimu sana Mkuuu

Ya kale ni dhahabu

Siyo mimi tuu nimeacha,na familia yangu na jamaa zangu na wachagga wengine wengi sana wameachana na huu ushetani na kuamua kuambatana na Yesu anayeokoa na kukomboa na kufungua vifungo.Wewe acha ushamba nenda makanisani uone jinsi wachagga tunavyomtumikia Mungu,utaona wivu na kujuta ulikua wapi siku zote.
 
Kanisan mbona naenda Lutheran kila iitwapo jumapili , ushirika fulani hivi
 
kwa uelewa wangu imani yeyote ambayo haimuhusishi Mungu aliye hai ni ushirikina... kufanya matambiko ni ushirikina pia hauna tofauti na uchawi
Babu zako walikuwa wachawi?? Je hutaki ata kujua asili yako ni nani katuvuruga africans mpaka hata tuone vyetu si chochote leo mtu hujihisi yupo juu akiongea kingereza, akishinda kanisani au misikitini anasahau kabisa kwamba ata yeye ana vyake japo vinaeza kuwa na mapungu lakini ana nafasi ya kuviboresha na kuwa safi.
 
Back
Top Bottom