Sasa huo uwezo wa kusaidia wanaupata vp na kutoka kwa nani baada ya wao kufa?n
Ni tafasiri yako hiyo sikupingi Mkuu.
Ila tambua kuwa kuna watu wanakuwa na msaada sana wakifa zaidi ya walivo kuwa hai.
Kuwadharau walio kufa ni kuwakosea adabu sana.
Wanakua bado wanaishi katika ulimwengu wa kiroho, matambiko yanakaribiana sana na ushirikina Mkuu, tambiko ni soft languageSasa huo uwezo wa kusaidia wanaupata vp na kutoka kwa nani baada ya wao kufa?
I'm not aware...... really....!!!!Na ule udi unaofukizwa kanisani (wakatoliki) ni nini?
Au kwaya na mapambio, si matambiko nayo?
]I'm not aware...... really....!!!!
Nimeuliza huo uwezo wanaupata vp? kwa sababu hapa kuna ile hali ya kuonesha kuna uspesho fulani kutoka kwa hao wazee na ndiyo maana naulia huo uwezo wanaupata.Wanakua bado wanaishi katika ulimwengu wa kiroho, matambiko yanakaribiana sana na ushirikina Mkuu, tambiko ni soft language
Wazazi wako wanajukumu la kukutunza, kikulinda wakiwa hai na hata wakifa na kama wako hai wenye jukumu ni wazee wengine wa ukoo waliotangulia katika ulimwengu wa roho
Mkuu matambiko ni mhimu sana.
Ya kale ni dhahabu.
Walichotuzidi wenzetu Mila zao wamezitunza ktk maandishi kila kizazi kinaona na kusoma jinsi ya kufanya matambiko na wapi kwa kwenda kufanyia, sisi waafrika mababu wameondoka na matambiko yao tutafanyia wapi hayo matambiko? na jinsi gani ya kufanya kwahyo hatuna budi kukimbilia kwenye Dini na mila za wenzetu
Just Awesome. You made my day. Najua wachaga wenzangu watapita na kusoma hapa kimya kimya .....
Ni wewe umeacha ila mm hapana,Ni kweli sisi wachagga tushaacha ayo mambo ya ovyo ovyo,kwasasa tunamjua Mungu na tunamyumikia kwa nguvu zote,muda si mrefu utasikia wanalalamika jamani wachagga wanaokoka mnoo,nawashauri na makabila mengine mchangamkie fursa hii adimu sana,hii ni neema ya ajabu,msiache ipite,jitahidini mtufikie au kutupita kwa kuokoka na kumpenda Mungu.
Matambiko is equivalent to Ushirikina sema yanawekwa katika soft language.
Ni wewe umeacha ila mm hapana,
Matambiko ni mhimu sana Mkuuu
Ya kale ni dhahabu
Kanisan mbona naenda Lutheran kila iitwapo jumapili , ushirika fulani hiviSiyo mimi tuu nimeacha,na familia yangu na jamaa zangu na wachagga wengine wengi sana wameachana na huu ushetani na kuamua kuambatana na Yesu anayeokoa na kukomboa na kufungua vifungo.Wewe acha ushamba nenda makanisani uone jinsi wachagga tunavyomtumikia Mungu,utaona wivu na kujuta ulikua wapi siku zote.
Kanisan mbona naenda Lutheran kila iitwapo jumapili , ushirika fulani hivi
I'm not aware...... really....!!!!
Kwani yesu kristo yuko hai…?Maiti ni mboga hauna msaada wowote kwa maisha ya mtu aliye hai
Babu zako walikuwa wachawi?? Je hutaki ata kujua asili yako ni nani katuvuruga africans mpaka hata tuone vyetu si chochote leo mtu hujihisi yupo juu akiongea kingereza, akishinda kanisani au misikitini anasahau kabisa kwamba ata yeye ana vyake japo vinaeza kuwa na mapungu lakini ana nafasi ya kuviboresha na kuwa safi.kwa uelewa wangu imani yeyote ambayo haimuhusishi Mungu aliye hai ni ushirikina... kufanya matambiko ni ushirikina pia hauna tofauti na uchawi
Uwezo alionao yesu au mtume mohamed ambao wote ni wafu uwezo wao umetoka wapi..?Sasa huo uwezo wa kusaidia wanaupata vp na kutoka kwa nani baada ya wao kufa?
Sasa mkuu je Mungu atatufufuaje au huamini katika kufufuliwa siku ya mwisho???sijawadharau Mzee.
je mtu akifa akili yake inaendelea kufanya kazi?