Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Dini na zenyewe zinafanya matambiko, au hujui kuwa kuhiji ni tambiko? Au kwavile hayo mahekalu hayapo Afrika?kwa uelewa wangu imani yeyote ambayo haimuhusishi Mungu aliye hai ni ushirikina... kufanya matambiko ni ushirikina pia hauna tofauti na uchawi
Uwezo gani walionao utaje?Uwezo alionao yesu au mtume mohamed ambao wote ni wafu uwezo wao umetoka wapi..?
Mwafrika ni mpuuzi tu ndo mana anaambiwa yeye ni nyani na still anakubali sasa mtu anashindwa ata kufatilia vizazi vyake vitano vya nyuma na kujua vilikuwa vinaishije na yeye improve vipi ndo kwanza anaona ni takataka Hawa wazungu na waarabu kweli wametukamata pabaya jitu linanua maji ya baraka eti linywe ukiliambia rudi nyumbani kila mwaka Kawaenzi babu zako walau kwa Kuchinja na Kula litakuambia ni ushirikina apo linaombewa kutwa linapewa mafuta sijui maji ya baraka simple tu mtu anaamini na kupigwa helaAnaesema matambiko ni ushirikina basi kwa wakristu ile altare wanayozunguka kwa mishumaa ni ushirikina tena wa kizungu . Zingatia tambiko lako la kiafrika
Jamaa wewe ni mwehu kabisa, Yesu ana asili yoyote na wewe, unajivisha ujinga tu au nyie ndio wayahudi weusi na mibendera juu ya israel mmeweka makwenuSiyo mimi tuu nimeacha,na familia yangu na jamaa zangu na wachagga wengine wengi sana wameachana na huu ushetani na kuamua kuambatana na Yesu anayeokoa na kukomboa na kufungua vifungo.Wewe acha ushamba nenda makanisani uone jinsi wachagga tunavyomtumikia Mungu,utaona wivu na kujuta ulikua wapi siku zote.
Ayubu ni nani babu zako walitumia hilo jina?? Hamna ata majina ya asili huko.kwenu au nayo ni ujinga? Ndio mana mnahangaika na magonjwa tu kwa ujinga huu endelea kukemewa mapepo mtumwa wa fikra weweHata shetani naye anaenda kanisani,haujasoma kwenye kitabu cha Ayubu kuwa wana wa Mungu walipokusanyika Shetani naye alijihudhurisha?
Waafrika tunazidi kuwa watumwa kutopenda mila zetu
Binafsi napenda makabila yanayoendeleza matambiko ya kimila
matambiko sio ushirikina nachukia ushirikina na uchawi wa kwenda wa waganga sana nakataa hayo mambo.
Ila matambiko ya kimila ni ibada nzuri sana kwa sababu haihusishi ushirikina wala kumtoa mtu kafara
Hizi ibada za matambiko hazijaanza leo toka enzi za ibrahimu alipotaka kumtoa isacka
Ndo maana jamii nyingi duniani nenda mpaka kwa wajapan, wachina mpaka wazungu matambiko yapo
Moja ya faida ya matambiko ni kuwa mungu anajibu haraka mnoo kupitia matambiko
Mtakesha sana misikitini na makanisani mkiomba mathalani mvua lakini wanaotambika wataomba mvua na itanyesha
Kama matambiko ni mabaya kwanini wengi wamuombao mungu kupitia matambiko hupata majibu haraka??
Kama ni mgonjwa hupona
kama ni balaa huondoka
kama ni laana huisha
kama ni mvua zitanyesha
kama ni njaa neema zitakuja
Naunga mkono matambiko ya kimila na makabila yote yanayoendelea matambiko nayasupport kwa 100%
Ayubu ni nani babu zako walitumia hilo jina?? Hamna ata majina ya asili huko.kwenu au nayo ni ujinga? Ndio mana mnahangaika na magonjwa tu kwa ujinga huu endelea kukemewa mapepo mtumwa wa fikra wewe
Dah! Hayo maneno mazuri sana..Biblia inasema, ipo njia ionekanayo njema machoni kwa mtu lakini ni chukizo kwa Mungu.
Mkuu umeongea point sana sana, Unajua sisi kila chetu hakifai, leo mtu anamuenzi Abraham au Mohamed na kusasau kuwa babu zake wala hawakumjua kabisa Mkuu kuna takataka kibao zinafanyiika huko misikitini na makanisani io albadiri ni mfano mdogo sana ila mtu huona ni baraka ila chake ni laana, mfano mzuri pia huo uliotoa wa ngoziTatizo Mwafrika hana Imani na cho chote kilicho chake ukisha ona mtu anajaribu mpaka kubadilisha mwonekano wake kwa kudhani sio mzuri (haupendezi), kutukuza utamaduni wa mtu mwingine basi ujue tatizo ni kubwa sana. Lakini kwa kifupi dini zote zimetokea kwenye matambiko alichokifanya Myahudi Abraham anasemekana kuwa ndio baba wa Imani kwenye kitabu cha historia kiitwacho Biblia, angekifanya Msukuma au Mnyakyusa leo Waafrika tungesema uchawi. Mambo kama al badri kwenye Imani za Kiislamu zina tofauti gani na ushirikina..?!! Wajapani na wengine wa Mashariki wana Imani zao tofauti kabisa na Ukristo au Uislamu na wanaendelea vizuri na wanakula neema hapa hapa duniani. Kipimo gani tunatumia kusema hizi Imani za ku import na nyingine tulifundishwa kwa nguvu eti ndio Imani za kweli?? Tatizo liko kwetu na usikute msoto huu unaonatupata Waafrika ukawa unatokana na kuacha Imani zetu na kuwatelekeza mababu zetu. Leo hatuna mbele wala nyuma shida, mateso na kudharaulika imekuwa ndio kitambulisho na Mwafrika na mtu mweusi popote pale alipo kwenye sayari hii. Hebu tusiwe wa haraka kupayuka kabla ya kufakari kwa kina bila uwogo tujiulize tatizo nini..!!
Jamaa ni zaidi ya Malimbukeni kama umefata dini fulani huo ni uhuru hukatazwi ila sio kuita babu zako wamelaaniwa je bila wao kulea vizuri generation kwa kile unachoona sasa ni Kibaya je ungezaliwa leo hii?? Na kumjua uyo Yesu ama mtume unae muona wa maana sanaaaNdugu mbona umekuwa mkali mno?
Jaribu kuwaeleza kawaida watakuelewa mkuu tu.
Jamaa ni zaidi ya Malimbukeni kama umefata dini fulani huo ni uhuru hukatazwi ila sio kuita babu zako wamelaaniwa je bila wao kulea vizuri generation kwa kile unachoona sasa ni Kibaya je ungezaliwa leo hii?? Na kumjua uyo Yesu ama mtume unae muona wa maana sanaaa
Tunasafari ndefu sana mkuu, Hata haya matatizo mengi ya sisi africans kuna muda unawaza tu sijui ni huu Ujinga wa kusahau kabisa vizazi vyetu vya nyuma hata kuvienzi tu, leo tunawasoma ni ceaser,Da vinci, Jesus wa miaka mingi mno ambapo ata wazo la hizi dini mpya halikuwepo huku kwetu na babu zetu still walimudu maishaKabisa.
Usemacho kina maana na ni jambo rahisi kulielewa isipokuwa kueleweka kwa walimwengu waliotekwa akili na ukoloni wa kiimani itakuwa ngumu sana kwakuwa fikra na mawazo yao yametekwa na nguvu ya kutawaliwa na ukoloni.
Waafrika tunazidi kuwa watumwa kutopenda mila zetu
Binafsi napenda makabila yanayoendeleza matambiko ya kimila
matambiko sio ushirikina nachukia ushirikina na uchawi wa kwenda wa waganga sana nakataa hayo mambo.
Ila matambiko ya kimila ni ibada nzuri sana kwa sababu haihusishi ushirikina wala kumtoa mtu kafara
Hizi ibada za matambiko hazijaanza leo toka enzi za ibrahimu alipotaka kumtoa isacka
Ndo maana jamii nyingi duniani nenda mpaka kwa wajapan, wachina mpaka wazungu matambiko yapo
Moja ya faida ya matambiko ni kuwa mungu anajibu haraka mnoo kupitia matambiko
Mtakesha sana misikitini na makanisani mkiomba mathalani mvua lakini wanaotambika wataomba mvua na itanyesha
Kama matambiko ni mabaya kwanini wengi wamuombao mungu kupitia matambiko hupata majibu haraka??
Kama ni mgonjwa hupona
kama ni balaa huondoka
kama ni laana huisha
kama ni mvua zitanyesha
kama ni njaa neema zitakuja
Naunga mkono matambiko ya kimila na makabila yote yanayoendelea matambiko nayasupport kwa 100%
Keep it up mkuu, mimi nitajifunza na kutumia tech zao hata lugha pia but swala la imani ni too sensitive siwezi kuwafata niliwahi andamwa na majanga mpaka nkarudi bush huko nkakaa na wazee na Nikatoa kidogo tukafanya kama kuwakumbuka babu, Nashukuru mambo yameninyookea je ningesema sijui ni okoke nipigwe hela na muda wangu na hawa Manabii uchwara si mpaka leo ningekuwa kiguu na njia na makanisa yote ningemaliza lakini kijijini huko najua ni mara moja kwa mwaka kama sina nafasi nanua Ni mbuzi ngombe nawapa mambo yananyooka.Binafsi mi sipendi misikiti wala makanisa kwa sababu hayana maana kwetu, tumeletewa tu ili tusahau mila zetu tuendekeze mila za watu. Nawashukuru wazazi wangu kutufundisha hii mila na I'm so proud of it kwani naona jinsi Mungu anavyotusaidia kiukoo.
Keep it up mkuu, mimi nitajifunza na kutumia tech zao hata lugha pia but swala la imani to sensitive siwezi kuwafata niliwahi andamwa na majanga mpaka nkarudi bush huko nkakaa na wazee na Nikatoa kidogo tukafanya kama kuwakumbuka babu, Nashukuru mambo yameninyookea je ningesema sijui ni okoke nipigwe hela na muda wangu na hawa Manabii uchwara si mpaka leo ningekuwa kiguu na njia na makanisa yote ningemaliza lakini kijijini huko najua ni mara moja kwa mwaka kama sina nafasi nanua Ni mbuzi ngombe nawapa mambo yananyooka.
Mkuu kutoka kwenye huo utumwa ni kazi ngumu mno watu wametopea uko Kabisa, Na niwana andanwa kweli.kweli na mabalaa wanabaki kuhama hana mara leo kanisa hili mara kesho lile, Hakuna namna watu wataacha huo ujingaNakuambia waarab na wazungu ndiyo waliotupa laana hizi tulizonazo sasa, mabalaa ya njaa, na majanga kibao yote hiyo ni kwa sababu mizimu yetu imekasirika kwanini tuwasuse wao tuwafuate watu wa nje na imani zao zisizo tuhusu na kuzifanya kuwa zetu?
Mkuu kutoka kwenye huo utumwa ni kazi ngumu mno watu wametopea uko Kabisa, Na niwana andanwa kweli.kweli na mabalaa wanabaki kuhama hana mara leo kanisa hili mara kesho lile, Hakuna namna watu wataacha huo ujinga