Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
 
Marehemu Magufuli aliwahi kusema kuwa SI kipaumbele chake!

Kwa hiyo rahisi ana ushawishi juu ya hilo
Na kipaumbele rais anapewa toka ccm. Kwahio katiba haiwezi badilika kama ccm itaendelea kua madarakani
 
Siyo kwamba sisi wananchi, ambao ndiyo wenye nchi, ndo wawezeshaji wa ujio wa hiyo katiba mpya?
Wananchi ndio wanajitengenezea Katiba yao kwa kuitumia Dola kama Muundo mbinu na mkuu wa Dola ni Rais

Yesu alisema " wataendaje bila kupelekwa?"

Kazi ya Rais ni kuwapeleka Wananchi wakaipate Katiba mpya

Kikwete aliwapeleka Wananchi 2014 lakini Wahuni wa UKAWA wakatokomea na Sadaka bila Katiba mpya kupatikana
 
Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
INAVYOONEKANA INATAKIWA TUMPIGIE MAGOTI
 
Mihimili yote

ipo sawa ila kuna mmoja umejichimbia chini zaidi ( JPM, 2015)
Baada ya hapo tukaishia kushangilia kujengewa viwanjq vya ndege porini bila hata idhini ya bunge ila kwa utashi binafsi
Miaka 60 plus ya uhuru watz bado twacheza NACH?
 
Back
Top Bottom