Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Siyo kwamba sisi wananchi, ambao ndiyo wenye nchi, ndo wawezeshaji wa ujio wa hiyo katiba mpya?Yeye ndio muwezeshaji
Mtu mmoja atakuwaje na ushawishi wa kushinda mamilioni ya watu?Marehemu Magufuli aliwahi kusema kuwa SI kipaumbele chake!
Kwa hiyo rahisi ana ushawishi juu ya hilo
Hii sio rocket science,ujinga uliopandikizwa kwa watanzania na unaojirithisha ndio tatizo,hata pale magogoni akiwekwa man best friend kwa systems yetu hii itatawalaMtu mmoja atakuwaje na ushawishi wa kushinda mamilioni ya watu?
Na kipaumbele rais anapewa toka ccm. Kwahio katiba haiwezi badilika kama ccm itaendelea kua madarakaniMarehemu Magufuli aliwahi kusema kuwa SI kipaumbele chake!
Kwa hiyo rahisi ana ushawishi juu ya hilo
Tumekuwa watumwa wa mwenyekiti wa chama tawala!Wakati mwingine huwa najiuliza sana hivi kwanini Watu zaidi ya 60 million tumekuwa wanyonge na Wajinga juu ya msitakabali wa TAIFA letu
Kwa kweli!Hii sio rocket science,ujinga uliopandikizwa kwa watanzania na unaojirithisha ndio tatizo,hata pale magogoni akiwekwa man best friend kwa systems yetu hii itatawala
Wananchi ndio wanajitengenezea Katiba yao kwa kuitumia Dola kama Muundo mbinu na mkuu wa Dola ni RaisSiyo kwamba sisi wananchi, ambao ndiyo wenye nchi, ndo wawezeshaji wa ujio wa hiyo katiba mpya?
INAVYOONEKANA INATAKIWA TUMPIGIE MAGOTIKatiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.
Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?
Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?
Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?
Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
Mkiitwa kuandamana hamjitokezi halafu unajifanya kushangaa kweli Manyanza?? 🤣Wakati mwingine huwa najiuliza sana hivi kwanini Watu zaidi ya 60 million tumekuwa wanyonge na Wajinga juu ya msitakabali wa TAIFA letu
Mimi sishangai aisee kwa sababu mambo yako poa aiseeMkiitwa kuandamana hamjitokezi halafu unajifanya kushangaa kweli Manyanza?? 🤣
ipo sawa ila kuna mmoja umejichimbia chini zaidi ( JPM, 2015)Katiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.
Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?
Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?
Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?
Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
Kwa sababu anashikilia dola,Mtu mmoja atakuwaje na ushawishi wa kushinda mamilioni ya watu?