Naytrueboy, mwanamuziki aliyewahi kuwa maarufu na tajiri amefilisika baada ya kujiunga CHADEMA

Naytrueboy, mwanamuziki aliyewahi kuwa maarufu na tajiri amefilisika baada ya kujiunga CHADEMA

Nay wa mitego hawajawai kuwa tajiri ili yuko average, ana nyumba yake nzuri tuu mbezi makabe ,nje ya music ana investment zake ambazo zinamuingizia Hela sio haba
Hizo habari za kupiga mizinga BAR ni uongo kwanza hana tabia za kushinda bar
 
Mpelekeeni chakula na matumizi.
Hakuna raha kweny harakat za kupinga udhalim, wizi na ufisadi!! Lazima uta face changamoto, but ujumbe utaish milele. Bora Nay kuliko wew unaesapoti kujilipua uue watu ili uende peponi ❌
 
Kama jamii ingekuwa na watu kama mtoa mada basi nchi nyingi zingekuwa masikini kwa taarifa yako mtu mmoja tu anaweza akaleta mabadiliko kwenye jamii au kwenye nchi kasome historia ya Martin Luther halafu ukimaliza uende ofisi ya ccm ukachukue buku tano yko na ney wa mitego na Roma wameanza harakati kitambo sana.
 
Ney kagusa mshono, wangetuachia wimbo wetu wa taifa tu.
 
Kuna carrier na career.

Kama hujajua tofauti sioni kama una la muhimu la kuniambia.

Kwenye jamii, kuleta mabadiliko makubwa, inabidi watu fulani wajitoe muhanga bila kuogopa.

Hao ni mashujaa wa kusheherekewa.

Mtoa mada ni mtu mbinafsi sana.
 
Ukimtoa diamond kuna msanii tajir.kama hata prof j alikosa hela ya matibabu .unataka Sema ney kaingiza hela kuliko prof??
 
Clouds ndio waliojitokeza kumgharamia hela ya matibabu yeye na familia yake hawakutangaza shida ya kuomba msaada
Kaka yangu wa Iringa matibabu ya j yalikuwa mil 1 kila siku .mpaka kupona serikali imelipa zaidi ya mil 230 usione yuko kimya juu ya dpworld .mtafanya tukose heshima kutaja details za mgonjwa ambae ni mtu tunaemuheshimu sana mtaani ni bro etu wa maana .ila kukaa bench ya ubunge miaka 3 na huna biashara alilost
 
Back
Top Bottom