Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Tafuta hela wewe,acha umarioo,Bimkubwa anakuambia imezeeka anakuwa kisaikolokia ili awe anatoka na dogo,Na wewe unananata na biti,Pala black,piga scrub mwilizima utarudi
 
Yes , kongoro inaongeza kitu kinaitwa collagen sijui kwa kiswahili ni nini, hii inapunguza kasi ya kuzeeka. Tumia sana matunda na mbogamboga upate vitamin A na C za kutosha utaona unakuwa kijana
Kongoro za Ng'ombe au Hata za Kitimoto?
 
Kwa grandmaa hilo liko wazi… kwa uso ya baridi ya friji hayaumizi?

Kibongobongo maji ya moto ni yale warm tu.. sio moto, sio baridi,
 
Ni vinasaba vya ukomo au familia ambavyo umevirithi. Bahati mbaya kuzeeka hakukwepekwi, ujaribu kutofuga ndevu, na utie dawa kwenye nywele au uwe na kipara.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…