ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
I like this, unaogopa mvi kweli kisa nini.It is a Blessing View attachment 2808311
Mimi nilishasema siji kupaka hizo superblack hata siku moja, I embrace my adulthood.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I like this, unaogopa mvi kweli kisa nini.It is a Blessing View attachment 2808311
Yawezekana nakujua. Umeishi Kimanga? Ila muhimu sasa kuanza mazoezi haswa ili kuukakamaza mwili. Pia pendelea kunyoa kipara na ndevu at least hadi ufike 55+Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.
Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.
Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.
Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.
Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.
Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.
Msaada tafadhali.
Mimi mwenyewe nimejiuliza swali hilo hilo.. Na hata ukifuata hayo masharti, haimaanishi ndio hautazeeka na kufa!Ukifuata masharti hayo, sasa upo duniani ulifuata nini?
mzee green eeh!!,alaf umesahau ki2 kimoja,,,mwambie anywe pombe ya mnazi,,,,,,,alaf aache tabia ya kwenda kuloga wenzake,na apunguze wivu kwa wafanyakazi wenzake!!Tatizo lako inaonekana umeanza punyeto ukiwa bado mtoto sana na bado haujaacha....Fanya mazoezi acha pombe kula mbogamboga matunda achana na wanawake au kupiga punyeto ovyo.
kunywa maji mengi.Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.
Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.
Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.
Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.
Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.
Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.
Msaada tafadhali.
You said it all.I like this, unaogopa mvi kweli kisa nini.
Mimi nilishasema siji kupaka hizo superblack hata siku moja, I embrace my adulthood.
Viazi vitamu vina Vitamin A kwaMhhh
Samahani, kweli au unachangamsha genge!Nina 59 kwasasa.
Ni kweli, vitamin A au retinol inasaidia kuzalisha collagen. Pia vitamins c zina punguza kasi ya kuzeeka. Pombe , stress na kula ovyo kunazeesha sanaViazi vitamu vina Vitamin A kwa
Nitaweka hapa mkuu.Hizo tips zimwage hapa hadharani na sisi tujifunze
Kumbe ww umeridhika na hyo miaka yako 50.... 😀 😀Bado mnalipa huku mnajiogopa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nimeridhika japo ilikuwa si rahisi kuridhika,lkn nimeridhika[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ww umeridhika na hyo miaka yako 50.... [emoji3] [emoji3]
Changamsha genge[emoji23][emoji15],mama tu hajafika[emoji15]Samahani, kweli au unachangamsha genge!
Nimetukana wapi???Utajongea tu kwenye huu umri na ww.
wala usitukane karibu sana. Au na ww kwako umri umeganda kama wa wema sepetu manake yule toka 2018 mpaka leo bado ana miaka 29
Kama huwezi yabaridi kabisa basi changanya na yamoto kdg kutoa ubaridi tu lakini yasiwe yamoto. na ikiwezekana usoni na kwa bibi Depal tumia maji ya baridi, yale ya bombani. kwa uso kama inawezeka tumia ya baridi hasa yalowekwa kwenye friji. uso wako kila siku utaonekana wa kijanaDunia ibinuke
Ndo nioge maji ya baridi asubuhi
Mhm [emoji848] [emoji848] [emoji848]Dawa nzuri ya kupunguza speed ya kuzeeka,Anza Kula na kunywa supu ya kongoro angalau 500mls Kwa siku Fanya zoezi Hilo mwezi mzima njoo na mrejesho ikikufaa endelea nayo.
Mkuu, unakumbuka story ya Elisha na Naaman ktk Agano la Kale?Hizo tips zimwage hapa hadharani na sisi tujifunze