Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.

Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.

Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.

Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.

Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.

Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.

Msaada tafadhali.
Mke ulinaye...... au MICHEPUKO iliyonayo
 
Kuna cku nikaita bodaboda, alivofika nikapanda alafu nikampa shikamoo yake, ghafla akaanza kulalama et kwa nn nampa shikamoo wakati ana miaka 32? Ikabidi nikaushe tu,, akaanza kusema ni wengi wananipa shikamoo,, nikamwambia sina kosa kaka,, basi sikuhizi mwendo wa niaje au mambo , imekaaje? Anafurai kweli,,

Ila anaonekana mtu wa 40 huko

😁
 
Nawe ni mwaccm kama yeye mkuu?
20230512_231025.jpg
 
Watu wanazeeka kwasababu ya stress ya kukosa pesa, kumbe wewe pesa unazo!!! Sasa shida itakuwa nini hapo? Ngoja wataalam waje
Atakuwa na magonjwa yasiyoambukizwa kama vidonda vya tumbo,sukari,presha ni magonjwa yanayozeesha kama mtu hazingatii kwenda clinic marq kwq mara
 
Kungonoka kunafanya mtu azeeke? Maana napiga puli c mchezo kuzidi hao wanaongonoka ila mwili haujachoka sijazekaa na nina 43 sasa.
Kwenye puli nina miaka 20 sasa
Puli hauna kitu unakipokea bali unatoa tu, wewe jaribu kungonoka mwezi mzima mfululizo utaona udhoofu wa mwili, pili kama utangonoka na mtu mmoja kila siku after some time utaona mmeanza kufanana.
 
Kungonoka kunafanya mtu azeeke? Maana napiga puli c mchezo kuzidi hao wanaongonoka ila mwili haujachoka sijazekaa na nina 43 sasa.
Kwenye puli nina miaka 20 sasa

Soon itaku cost . Puli ni waste of energy inapoteza nguvu kuliko hata kufanya sex. By the way unapopiga puli una convert pysical energy itokanayo na chakula kwenda non physical energy ambayo inapotea. Sperm ndo the best nutrient kwenye mwili wa mwanaume. Kama huwezi kuacha basi isiwe excess/extreme. At his peak mike tyson anakili kuacha kupoteza sperms zake hovyo hovyo na alikuwa na nguvu, focus ya ajabu sana mpaka kupewa jina la iron.
 
Ili usizeeke haraka unatakiwa kuoga maji yabaridi tena ikiwezana siku moja moja uweke barafu kwenye bath tub halafu ujisoak
nope, experiment ndogo tu.

uje ujaribu siku moja wewe uoge ya baridi jirani yako aoge moto, on the spot, kila mmoja ashike ngozi yake, utaona ya nani iliyokakamaa, na tutafute maokoto maji baridi ni ya kuongeza nguvu na ku-regulate body temperature.

Chao
 
Chukua hiyo
Uwe unachukua viaz vitamu unavipika na maganda yake alafu unakula na maziwa freshi ,kwenye kula unaruhusiwa kumenya yale maganda ukipenda muhimu upike na maganda yake tu kikiwa sehem ya chakula chako hutojuta
Mhhh
 
Kuka matunda na mboga mboga, epuka nyama wanyama kama mbuzi, kula sana samaki,maziwa soda yako iwe youghort,kunywa chai yenye limao, fanya mazoezi kidogo tafuta dam ya universal donor yani group O negative uwekewe punguza ngono
😆 😆 😆 😆 huu nacheka kila comment...kwani kaishiwa damu?
 
Soon itaku cost . Puli ni waste of energy inapoteza nguvu kuliko hata kufanya sex. By the way unapopiga puli una convert pysical energy itokanayo na chakula kwenda non physical energy ambayo inapotea. Sperm ndo the best nutrient kwenye mwili wa mwanaume. Kama huwezi kuacha basi isiwe excess/extreme. At his peak mike tyson anakili kuacha kupoteza sperms zake hovyo hovyo na alikuwa na nguvu, focus ya ajabu sana mpaka kupewa jina la iron.
Nina miaka 20 katika puli unakuja kuniambia itanicost? Una akili sawa sawa kweli?
 
🤣🤣🤣 kubali tu mkuu mimi nina 30 ila na upara huo hashimu rungwe hanikaribii lakini nitafanyaje sasa ndyo wakwangu . Nimeukubali na maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom