Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Mimi ni muhanga wa mvi tangu Nina miaka 25 mpaka Sasa Nina miaka 39,kawaida yangu nanyoa kipara Kila baada ya siku Tano. Kwa Sasa robo ya kichwa changu kina mvi ila kwetu Kuna asili ya mvi hata wadogo zangu wa baba wengine Wana mvi
Za asili hizo zisikutishe
 
Na ngono aache mkuu? Masharti mengine kama ya mganga hayatelekezeki.
Ndio maana wanawake wa tanzania unakuta mzuri ila tumbo Sasa kama hekalu la yesu


Carbs ni kitu kibaya sana kwenye mwili wa binadamu kuliko faida zake.


Eti kuacha ngabo hakutekelezi mbona Kuna watu hawali hayo ma ngano na wako poa including me
 
Ndio maana wanawake wa tanzania unakuta mzuri ila tumbo Sasa kama hekalu la yesu


Carbs ni kitu kibaya sana kwenye mwili wa binadamu kuliko faida zake.


Eti kuacha ngabo hakutekelezi mbona Kuna watu hawali hayo ma ngano na wako poa including me
Usome uelewe sio usome ujibu, wapi nimeandika ngano mkuu??
 
tafuta pesa

punguza ngono,

punguza mawazo,

kunywa maji mengi,

pata muda mrefu wakupumzika (kulala),

oga maji ya moto ata kama ni jua kali.

Kula mlo kamili siyo kula kula.

Asante.
Ili usizeeke haraka unatakiwa kuoga maji yabaridi tena ikiwezana siku moja moja uweke barafu kwenye bath tub halafu ujisoak
 
Hakuna namna,Ushazeeka hivyo,


40yrs mbona lizee, unafosi uonekane una 20yrs!!!

Imeisha hiyo[emoji419]
Kama umenielewa vzr sijaforce chochote mtaalamu wewe, nimeshangaa tu inakuaje kimuonekano nawa'level' na hata kuwapita kwa mbali makaka zangu, mababa wadogo walio miaka 10 mbele yangu na age mates wengi tu.

Kumbe siku hz hakuna utu uzima ee?!!! Kuna utoto, ujana halafu uzee.
 
Mimi ni muhanga wa mvi tangu Nina miaka 25 mpaka Sasa Nina miaka 39,kawaida yangu nanyoa kipara Kila baada ya siku Tano. Kwa Sasa robo ya kichwa changu kina mvi ila kwetu Kuna asili ya mvi hata wadogo zangu wa baba wengine Wana mvi
case yako wewe ni ile wanaita mvi za kurithi? But wengine hiyo kwao haipo ila tayari vichwa na videvu vishachafuka katika late 20' s na early 30' s
 
Punguza vya kula vya wanga
Punguza nyama nyekundu
Punguza vitu vya sukari
Punguza kulala mchana
Acha pombe
Acha soda
Acha joice
Acha wali
Acha ngono
Acha kuchek movie au series kwa muda mrefu
Acha kucheza game muda mrefu
Pendelea fanya mazoezi kidogo
Pendelea mboga za majani
Pendelea bidhaa za bahari
Pendelea matunda
Pendelea vya nyuzi ( tende ,viazi vitamu nk
Pendelea kipaka mafuta ya nazi
Pendelea kula kabla ya saa mbili usiku
Ukifuata masharti hayo, sasa upo duniani ulifuata nini?
 
Vyakula na vinywaji vya kisasa. Ma energy ya Azam, ma jiuce to much sugar, kulala muda mfupi sana, chips mayai, kuku yaliyopatikana kwa kuwalisha kuku madawa sana.
Naungana na wewe mkuu, yawezekana hapa ndiyo kiini cha hili tatizo! Life style inatuhukumu kwa sasa, tunakula na kunywa visivyofaa na inaenda mbali kabisa hata tunapaka visivyofaa kupaka kwenye ngozi zetu na nywele zetu pia.
 
Nilisema ndio na ninasema tena achana na maji ya moto ...
Msikaririshane, kwa afya ya ngozi kikanuni ni;

1. Maji ya moto jioni/usiku ili uoge ulewe ulale

2. Maji baridi asubuhi ili uoge uchangamke ukafanye kazi.

Kila kimoja kina sehemu yake, na vyote moto na baridi vinahiyajika kwa wakati wake. Imfikie na Depal
 
Nunua superblack kaa nayo nyumbani, anco wangu ana 60 anajipaka superblack yupo fresh kabisa. Superblack nzuri zina weka weusi nywele tu na sio kwenye ngozi pia.
Ndevu nyeusi tiii
Kichwani nywele nyeusi tii
 
Back
Top Bottom