Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.

Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.

Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.

Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.

Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.

Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.

Msaada tafadhali.
Watu wanazeeka kwasababu ya stress ya kukosa pesa, kumbe wewe pesa unazo!!! Sasa shida itakuwa nini hapo? Ngoja wataalam waje
 
Inatokana na staili yako ya maisha. Acha pombe, acha sigara, punguza kufanya mapenzi, kula sana matunda na kula chakula bora, kunywa maji ya kutosha, hakikisha mwili unatoa jasho kwa kazi au mazoezi kiasi, epuka stress kwa njia yoyote ile, jitahidi kurizika na maisha na kuondoa mawazo yakutaka mambo usioyaweza, weka vizuri mahusiano yako na Mke au mpenzi wako na jamii kwa ujumla.
 
Kizazi cha 80's na 90's kina shida gani? Haya magroup mawili watu wake wanapatwa na mvi za mapema sana ukilinganisha na wale 70's, 60's kurudi huko nyuma, najiuliza sana nini kimetukuta sisi wa vizazi hivi viwili?
 
Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.

Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.

Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.

Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.

Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.

Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.

Msaada tafadhali.
Kata CARBS KWENYE CHAKULA CHAKO KWA 80% ,nyama ya ngurue ya ng'ombe tumia kidogo sana,alafu vinywaji vya soda,bia,vinywaji vikali,sigara, achana navyo replace it with juice tengeneza nyumba Tu hasa za matunda kama parachichi epuka,lala muda WA kutosha ,punguza mapenzi na tembea hatua 80000 daily,
 
Kizazi cha 80's na 90's kina shida gani? Haya magroup mawili watu wake wanapatwa na mvi za mapema sana ukilinganisha na wale 70's, 60's kurudi huko nyuma, najiuliza sana nini kimetukuta sisi wa vizazi hivi viwili?
Tulipigwa chanjo za kijinga sana
 
Kizazi cha 80's na 90's kina shida gani? Haya magroup mawili watu wake wanapatwa na mvi za mapema sana ukilinganisha na wale 70's, 60's kurudi huko nyuma, najiuliza sana nini kimetukuta sisi wa vizazi hivi viwili?
Mimi ni muhanga wa mvi tangu Nina miaka 25 mpaka Sasa Nina miaka 39,kawaida yangu nanyoa kipara Kila baada ya siku Tano. Kwa Sasa robo ya kichwa changu kina mvi ila kwetu Kuna asili ya mvi hata wadogo zangu wa baba wengine Wana mvi
 
Umeacha Tabia ya kuzama chumvini lazima uzeeke tu

Kizazi cha 80's na 90's kina shida gani? Haya magroup mawili watu wake wanapatwa na mvi za mapema sana ukilinganisha na wale 70's, 60's kurudi huko nyuma, najiuliza sana nini kimetukuta sisi wa vizazi hivi viwili?
Vyakula na vinywaji vya kisasa. Ma energy ya Azam, ma jiuce to much sugar, kulala muda mfupi sana, chips mayai, kuku yaliyopatikana kwa kuwalisha kuku madawa sana.
 
Back
Top Bottom