Nazeeka, naogopa!

Nazeeka, naogopa!

Acha woga kula vitu, nywele weka piko, uzee mwisho chalinze[emoji2] [emoji2]
 
To grow old is optional. Jiweke fit, fanya mazoezi walau nusu saa kila siku. Acha pombe Na Kula zaidi mboga za majani Na matunda. Anza kusali (hehehe kama huendi jumuiya ndo wakati huu).

Ukivaa kichungaji labda uwe unavaa kama pastor wangu, suruali ya jeans Na slim fit shirt Na kiatu cha kueleweka. Ila ukivaa kama mchungaji wa kijijini ndo shkamoo zitakukoma
 
Of all the wonders yet I ever seen it seems to me most strange that man should fear death, while knowing that it is a necessary end. It will come when it will.
 
Haahah!!, mada nyingine bhuanaaa...inabidi tu ucheke...!!!!
 
Alieutoa nishai uzee ni mmoja tu...baba yake na dully Sykes Mzee saiksi mwenyewe.

Mpaka anaachia hakuwai kuukubali uzee he were young, wild and free though mwili uling'ang'ania uzee ila nafsi na roho yake ilikuwa janki.
Hapana Kaka, sio yeye pekeyake, kuna LeMutuz nae kaushinda uzee
 
Kuna baba mdogo yeye kutukana stupid alikuwa ananasema "schupid" Sasa na wewe mleta mada "schupid" kabisa utaogopaje wajibu wako? Kuzeeka ni wajibu hata akina Joti ndo wanazeeka hivyo. Wewe ulifikri utangangania hapo hapo? Halafu wewe nimekuona hofu yako ni kugonga mbunye, mbona mabinti wazuri tu wanajigonga wenyewe na tunawangoa centre bolt kama kawa? Labda wewe tu kama ni polygon! Tena huu ndo wakati mwafaka wa kuwagongea vijana wa leo maana watoto wenyewe wanasema tuvijana twa siku hizi hatujui kupenda tumejaa ulaghai! Kubali matokeo huku unagonga za akina King'asti, Evelyn Salt, Madame B, Asha Dii and the like kwa raha zako! Ila ndo unaagaaga hivyo!!
 
Uzee ni tunu....uzee ni baraka.....uzee ni kisima cha maarifa......uzeee ni zawadi kwani ni wachache sana wanaopata zawadi hiyo.......
Hutakiwi kuuogopa uzee....bali unatakiwa ujivunie uzee......

Ufanye uzee wako kuwa kisima na chem chem ya hekima kwa vijana.....wafanye vijana wajivunie kuwa na wewe karibu.....kwa kuwasambazia busara na hekima......

Epuka kuwa mtu mzima hovyo....kwa kufanya mambo yaliyo kinyume na umri wako.....
 
Alieutoa nishai uzee ni mmoja tu...baba yake na dully Sykes Mzee saiksi mwenyewe.

Mpaka anaachia hakuwai kuukubali uzee he were young, wild and free though mwili uling'ang'ania uzee ila nafsi na roho yake ilikuwa janki.
Nimecheka sana mkuu
 
Ndugu zangu
Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu,nimegundua nauingia utu uzima,nimechukia,naogopa nahisi maisha ndio basi,kila nikipita nasalimiwa shikamoo,sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.mvi zinabisha hodi kila kukicha,nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji,sitaki lakini hakuna jinsi,mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani,naogopa kutongaza huenda nikatukanwa hadharani,mhh,mlioushinda uzee nisaidieni
Usihofu mbona Lowassa anapendwa.
 
The aging of beings, their old age, brokenness of teeth, grayness of hair, wrinkling of skin, decline of life, weakness of faculties - this is called aging.
With the arising of birth there is the arising of aging and death.


Sammaditthi Sutta, v. 21-22
 
nimeshaambiwa kuwa ukiona matrafiki, mapolisi na manesi unaona ni vijana wadogo wadogo basi ujue umri wako wewe ndiyo umesonga. Au hujagundua pia ukiangalia form one wa leo (au hata form 4) ni wadogo sana? wanaoingia chuo kikuu pia siyo vijeba kama Enzi zetu. Lakini ukweli ni kuwa umri wako ukisonga huwezi kushindwa kuona ninachokisema hapa ...
 
Fanya hivi:
aefbe28ba04f72b185f88829eb7ef58f.634x510x1.jpg
 
--void stress livings.
--learn to accept
-- avoid much alcoholics
--Tumia zaidi salads
--kila siku pata asali ya nyuki wadogo changanya na amdalasini kunywa kila siku kama vijiko 4/5.
--inbox for more.../
--intrecourse once a week.
::ndani ya week 3 endapo utafaulu mvi zitapungua kuota/
and you shall looks very young boy/
also there are Indian methods /
•sleep well 8 hours/ 24hrly.
 
Back
Top Bottom