Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Haki ya nani watu mna majibu humu mpaka basi! Yaani mpaka mtu anajisikia kuugua kwa nini alileta hoja ya hivyo!!we utakuwa hujajenga au kuna majukumu hujatimiza na umri ndo unakwenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ya nani watu mna majibu humu mpaka basi! Yaani mpaka mtu anajisikia kuugua kwa nini alileta hoja ya hivyo!!we utakuwa hujajenga au kuna majukumu hujatimiza na umri ndo unakwenda
Ndevu kwa mwanaume safi sanaa!!!Mimi niko kama wewe ila mi nachukia kuota ndevu tu still ni kijana mdogo tu.... I wish nipate dawa ya kuzifanya zisiote arghhh 😡
Uzee ni tunu....uzee ni baraka.....uzee ni kisima cha maarifa......uzeee ni zawadi kwani ni wachache sana wanaopata zawadi hiyo.......
Hutakiwi kuuogopa uzee....bali unatakiwa ujivunie uzee......
Ufanye uzee wako kuwa kisima na chem chem ya hekima kwa vijana.....wafanye vijana wajivunie kuwa na wewe karibu.....kwa kuwasambazia busara na hekima......
Epuka kuwa mtu mzima hovyo....kwa kufanya mambo yaliyo kinyume na umri wako.....
very veryInteresting
unataka mwenzio anywe sumu sasaShkamoo..
hahaha..atakufa na presha asipojikubaliunataka mwenzio anywe sumu sasa
Mkuu unapitia situation kama Yangu, Kuna watu wakiniamkia nanuna kabisa, naona kuwa sistahili shikamoo zao. Kweli ujana maji ya moto, Shikamoo uzee.Ndugu zangu,
Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu, nimegundua nauingia utu uzima, nimechukia, naogopa nahisi maisha ndio basi, kila nikipita nasalimiwa shikamoo, sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.
Mvi zinabisha hodi kila kukicha, nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji, sitaki lakini hakuna jinsi, mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongoza huenda nikatukanwa hadharani.
Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni
Kuna bwana mmoja anaitwa Le Mutuz, huyu kaushinda uzeeeeeeeeeeeeeee!
Eli, mi niko kwenye forties lakini naamkiwa na wazee mpaka naogopaga.Lakini sista kuna stage unafikia kila unayekutana nae anakupa "shikamoo dada/kaka/uncle/aunt". Lazima ushtuke kuwa mshale umeshavuka saa sita. Ni kweli uzee ni vile unavyokiweka lakini......at 50+ I guess there's fear kiaina.