Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Hello, niende moja kwa moja kwenye mada.
Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee.
Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji wa nazi. Ina maana nazi zetu hazitoshi au tatizo ni nini hadi tutumie nazi kutoka Indonesia? Kwanini kina Azam hawajawekeza kwenye kusindika nazi na badala yake wameamua kuwa wasambazaji? Kusindika nazi hakutawapatia faida au?
Karibuni wataalamu.
Asante.