digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Ni kweli,nilidhani ni porojo za jf,nimeangalia thamani ya pesa yetu,yaani sh 1 ya Tanzania ni sawa na Rupia 6.08, hivyo mtu ukiwa na sh 300,000 za kitanzania, Indonesia una 1.8MUnakuta wakitumia nazi zetu gharama za uendeshaji zinakuwa zipo juu sana so wanaona best option ni kununua kutoka huko indonesia. Halafu kitu kingine thamani ya hela ya indonesia ipo chini mno kiasi kwamba ukiwa na laki tatu ya kitanzania ukienda nayo indonesia unakuwa na hela ya kutosha kufanya starehe mpaka uchoke.
Itanipidi nijipange nisafiri kwenda huko,nikiwa na milioni 2 za bongo,lazima nirudi na mabinti hata 10