Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
- Thread starter
- #21
Hahaha wabongo banaLabda nazi zetu ni kwa ajili ya matumizi ya ulozi tu.

Hilo nalo neno mzeeNazi chukua Kuna mwenyewe, hizo mnazozinadi ni nazi kweli? Mmmmh
Na uendeshaji wake pia.Huenda ni ukiritimba katika mchakato wa uanzishwaji wa viwanda.
Kuna mikoa nazi hazipatikani hadi ununue hizo za pakti. Tembea uone.Kama.kuna kitu sijawahi tu.mia ni hizi nazi za pakiti, maana Dar nazi zimejaa kwanini nipikie hizo.
Umelima minazi mingapi?Hello, niende moja kwa moja kwenye mada.
Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee.
Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji wa nazi. Ina maana nazi zetu hazitoshi au tatizo ni nini hadi tutumie nazi kutoka Indonesia? Kwanini kina Azam hawajawekeza kwenye kusindika nazi na badala yake wameamua kuwa wasambazaji? Kusindika nazi hakutawapatia faida au?
Karibuni wataalamu.
Asante.
Wengine tupo mikoa ambayo watu nazi wanazionaga kwenye TV tu. Kwahiyo ukitaka kupikia nazi chaguo pekee ni nazi za pakti.Nazi chukua Kuna mwenyewe, hizo mnazozinadi ni nazi kweli? Mmmmh
Sina shamba wala plot.Umelima minazi mingapi?
Basi Lima kwanza ndio uje kuhojiSina shamba wala plot.
Na kulalamaHata Asasi anatoa maziwa Kenya na rwanda sisi tunaweza. Udaku
Nchi ya wapiga domo na waendesha boda bodaNa kulalama
Yaleyale ya kututia visukariHello, niende moja kwa moja kwenye mada.
Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee.
Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji wa nazi. Ina maana nazi zetu hazitoshi au tatizo ni nini hadi tutumie nazi kutoka Indonesia? Kwanini kina Azam hawajawekeza kwenye kusindika nazi na badala yake wameamua kuwa wasambazaji? Kusindika nazi hakutawapatia faida au?
Karibuni wataalamu.
Asante.
Ni zao lolote litokanalo na kilimoTanzania si nchi ya kuagiza:
- Ngano
- Mafuta ya kula
- Nazi
- Maziwa
Huku mtaani nazi zinauzwa 1000 na zaidi.Hello, niende moja kwa moja kwenye mada.
Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee.
Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji wa nazi. Ina maana nazi zetu hazitoshi au tatizo ni nini hadi tutumie nazi kutoka Indonesia? Kwanini kina Azam hawajawekeza kwenye kusindika nazi na badala yake wameamua kuwa wasambazaji? Kusindika nazi hakutawapatia faida au?
Karibuni wataalamu.
Asante.
Bila kusahau betting na forexNchi ya wapiga domo na waendesha boda boda
Bila kusahau betting na forex
URASIMU MKUBWA SANAAna angalia running cost na urasimu wa nchi kwenye kumiliki na kuendesha kiwanda, sheria n nyingi na viushuru chungu nzima
1Osha
2:TFDA
3:Tbs
4:TRA
5:nemc
Hapo bado huja walipa wafanyakaz, umeme, walinzi ,na huja agiza mashine halafu nazi uje uuze jero au buku ili kuendana na bei za kitanzani l. Ingekua wew ungeweza?
Tuliwahi kwenda kutembelea kiwanda cha ngano cha Buguruni, baada ya maelekezo mengi niliuliza swali hili;Hello, niende moja kwa moja kwenye mada.