Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani.
Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo
Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane
Tukashuhudia ubunifu wa kutoa matangazo live Hadi Jaji akakereka Kwa namna vijana wanavyohabarisha
Exbits zikawa zinatolewa kwenye custody ya Mahakama kinyume cha sheria na utaratibu, Msajili anawasiliana na kukabidhiana exbits na shahidi ofisini kwake
Tumefika Wakati madhahidi wanaanza kusema HAPANA kwa wingi katika ushahidi wao, tumeshuhudia knowledge gap iliyopo kwenye vyombo vy dola pamoja na ofisi ya DPP katika uandaaji mashtaka na kuongoza mashahidi
Kidogo kidogo mwananchi akajaribu kwenda Live Kwa kuchagua vipengele anavyoona yeye vinafaa ila akaidhiwa pumzi
Jaji akaanza kulegeza masharti ya maamuzi hasa kwa kutupilia mbali baadhi ya vielelezo
Mashahidi Wakabanwa na kuanza kukumbushwa baadhi ya Kesi za mateso walizowahi kushiriki. Mashahidi wakaanza kuhusoanishwa na kupotea Kwa Watu.
Mara tunaona ITV wanarusha habari kwa uchambuzi wa hali ya juu tena kwenye taarifa ya habari.
Tunatakari tunabaini hata vyombo vya dola vimenyamaza na kuruhusu wanachadema kuimba wimbo Bado kidogo mambo yatàbadilika mahakamani bila kukamatwa kwa maandamano au makosa ya vurugu.
Uchambuzi kuhusu kesi hii unaanza kufanya kwenye vyombo vya habari. Uhuru wa watuhumiwa unaanza kuonekana.
Kwa Hali hii nataka niamini Kwamba Mhe. Rais amefuatilia kilichotipotiwa na vyombo vya habari, amefuatilia ushahidi unaotolewa, amefuatilia mwenendo wa kesi na amebaini wazi Kwamba kesi hii ilikuwa mtego kwake na ilitengenezwa na wataka Urais 2025 Kwa lengo lakumchonganisha na jamii lakini pia kumfanya aonekane kama anakubaliana na matendo maovu dhidi ya uhai wa binadamu yaliyofanywa na Watu wasiojulikana awamu ya Tano.
Mama amejiridhisha pasipo na shaka Kwamba kundi lililohusika kukusanya ushahidi huu hata kama litapewa fadhila ,ipo siku litatumika vinginevyo dhidi ya watu wengine may be yeye akiwa amestaafu Urais. Amejitunza Kwamba walioumiza watu wakiwemo watu wake wa katibu ni vijana wachache na hakuna namna isipokuwa kuruhusu uchunguzi wa kina wa matukio kadhaa yaliyofanywa na awamu ya Tano. Amebaini Kwamba watu Hawa Wana fedha, kama walichukua milioni mia kama rushwa Arusha, HUKO kwingine walipora kiasi gani? Hizo fedha kwa sasa wamezificha wapi? Wanataka kuzitumia kwa kazi gani?
Kwa funzo hili naamini Mama alikuwa sahihi kesi hii kwenda Mahakamani na imemfanya ajifunze aina ya watu wanaomzunguka na atambue ni strategies gani zitumike kuishi nao. Mwisho naamini mama amejifunza kutomwamini mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke. Bali wakumwamini ni MUNGU pekee.
Niwapongeze wote wanaoshiriki mchakato huu wakutuonyesha njia sahihi, Kila Jambo utokea kwa sababu flani na hii imetokea Kwa makusudi flani. Soon Mbowe na wenzake watarejea Uraiani kuendeleza harakati.
Mwenyenzi Mungu amsaidie mwenye nchi azidi kuwa na macho ya rohoni, asione kijani bali aione tanzania na aamini kwamba Tanzania inaweza kuwepo bila kijani ila kijani hakiwezi kuwepo bila tanzania. Mwenye mungu ampe moyo mkuu wakufungua wafungwa wa kisiasa na wasio na hatia kwa lengo la kuliponywa taifa.
Mwenyenzi Mungu ampe moyo wakukubali adharani kwamba tulikosea awamu ya tano, akawatembelee waliopoteza wapendwa wao wakiwemo wototo wa saanane na gwanda kwa lengo lakuwarejeshea matumaini mapya na kuomba wasidhidi kuomba duha mbaya kwetu bali waombe nchi ipone. Mandela alifanya na hakupungukiwa kitu wala madaraka yake ya urais hayakupungua. Tusameane tuanze upya kuijenga tanzania, madaraka yanapita, kifo kipo.