Naziona dalili zote kwamba Mbowe na wenzake wanatoka Gerezani

Unasemaaa??
Akitoka majigambo hasa kutoka kwa watu kama Erythrocyte etc utatamani ardhi ipasuke. Shetani hajawahi mshinda Mungu. Chadema ni mpango wa Mungu. Nguvu ya chadema hakuna hapa Tanzania. Mbowe kiboko ya Samia, amebana ameachia….. wembe tuliomunyoa Magufuli sasa unamnyoa Samia etc
 
Hadi sasa kama judge atakuwa fair nakubaliana na wewe kuwa Mbowe na wenzie watashinda hii case!

Lakini kikwazo kipo pale ambapo Rais alishatoa hukumu kuwa Mbowe ni muhalifu na wenzie walishatiwa hatiani na yeye akakimbilia Kenya!

Sasa kazi ipo kwa judge kama hataona au hatoogopa kwenda kinyume na boss wake basi namuona Mbowe akitoka gerezani kwa kushinda case!
 
[emoji1][emoji1][emoji45][emoji45]
 
Hii kesi imesaidia sana umma!

Si suala la katiba tu bali imeonyesha mengi ikiwemo matundu ya Mhimili wa Mahakama

Tumeona kila siku 'wasiojulikana' sasa wanajulikana na hata 'waliowatuma' tunawajua

Pamoja na maumivu wanayopitia akina Mbowe na wenzao , kesi imesaidia sana Taifa

JokaKuu
 
Ngoja tuone, ingawaje kesi inaonekana itakuwa ndefu...
 
Na wewe uliyeko Somalia unajichekesha chekesha baada ya kushiba chibuku...
 
Well said and be blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…