This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Nov 6, 2023 #61 nguvu said: Nchi lako limejaa shida kibao, ujinga, maradhi, umasikini, ufisadi n.k, unaacha kujionea huruma wewe na vizazi vyako unawaonea huruma waliokuzidi kila kitu. Click to expand... Wakati mwingine hizi Ni akili za mtu ambae kidogo shule imempita kushoto. Na kwa sababu uelewa ni mdogo anapokosa Cha kuchangia ktk hoja anaona wenye hoja km watu wajinga. Mambo ya migogoro ni taaluma za watu. Humu jukwaani Kuna kila Aina ya kada za kitaaluma.
nguvu said: Nchi lako limejaa shida kibao, ujinga, maradhi, umasikini, ufisadi n.k, unaacha kujionea huruma wewe na vizazi vyako unawaonea huruma waliokuzidi kila kitu. Click to expand... Wakati mwingine hizi Ni akili za mtu ambae kidogo shule imempita kushoto. Na kwa sababu uelewa ni mdogo anapokosa Cha kuchangia ktk hoja anaona wenye hoja km watu wajinga. Mambo ya migogoro ni taaluma za watu. Humu jukwaani Kuna kila Aina ya kada za kitaaluma.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 6, 2023 #62 This is... said: Wakati mwingine hizi Ni akili za mtu ambae kidogo shule imempita kushoto. Na kwa sababu uelewa ni mdogo anapokosa Cha kuchangia ktk hoja anaona wenye hoja km watu wajinga. Mambo ya migogoro ni taaluma za watu. Humu jukwaani Kuna kila Aina ya kada za kitaaluma. Click to expand... Heri yako wewe ambae elimu imekupitia kulia, unajua kuliko wanaopokea wageni
This is... said: Wakati mwingine hizi Ni akili za mtu ambae kidogo shule imempita kushoto. Na kwa sababu uelewa ni mdogo anapokosa Cha kuchangia ktk hoja anaona wenye hoja km watu wajinga. Mambo ya migogoro ni taaluma za watu. Humu jukwaani Kuna kila Aina ya kada za kitaaluma. Click to expand... Heri yako wewe ambae elimu imekupitia kulia, unajua kuliko wanaopokea wageni
Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,110 Nov 10, 2023 #63 malantu said: Huju historia wewe. Mleta mada yuko sawa. Unajua uturuki iligeukaje kuwa nchi ya kiislamu? Click to expand... Kwaiyo bado unazungumzia zama za kale? kizazi kilichopita na sisi tunazungumzia wakati huu kwa kizazi hiko. Soma nyakati
malantu said: Huju historia wewe. Mleta mada yuko sawa. Unajua uturuki iligeukaje kuwa nchi ya kiislamu? Click to expand... Kwaiyo bado unazungumzia zama za kale? kizazi kilichopita na sisi tunazungumzia wakati huu kwa kizazi hiko. Soma nyakati
V Vikintu JF-Expert Member Joined May 26, 2021 Posts 2,051 Reaction score 3,162 Nov 11, 2023 #64 Mr sule said: Kwaiyo bado unazungumzia zama za kale? kizazi kilichopita na sisi tunazungumzia wakati huu kwa kizazi hiko. Soma nyakati Click to expand... Shallow minded.
Mr sule said: Kwaiyo bado unazungumzia zama za kale? kizazi kilichopita na sisi tunazungumzia wakati huu kwa kizazi hiko. Soma nyakati Click to expand... Shallow minded.
Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,110 Nov 11, 2023 #65 malantu said: Shallow minded. Click to expand... Zero minded