This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wakati mwingine hizi Ni akili za mtu ambae kidogo shule imempita kushoto.Nchi lako limejaa shida kibao, ujinga, maradhi, umasikini, ufisadi n.k, unaacha kujionea huruma wewe na vizazi vyako unawaonea huruma waliokuzidi kila kitu.
Na kwa sababu uelewa ni mdogo anapokosa Cha kuchangia ktk hoja anaona wenye hoja km watu wajinga.
Mambo ya migogoro ni taaluma za watu.
Humu jukwaani Kuna kila Aina ya kada za kitaaluma.