Nazionea huruma nchi za Magharibi, hawataki kuzaliana huku wakikaribisha mamilioni ya itikadi kali kwao

Nazionea huruma nchi za Magharibi, hawataki kuzaliana huku wakikaribisha mamilioni ya itikadi kali kwao

Nchi lako limejaa shida kibao, ujinga, maradhi, umasikini, ufisadi n.k, unaacha kujionea huruma wewe na vizazi vyako unawaonea huruma waliokuzidi kila kitu.
Wakati mwingine hizi Ni akili za mtu ambae kidogo shule imempita kushoto.

Na kwa sababu uelewa ni mdogo anapokosa Cha kuchangia ktk hoja anaona wenye hoja km watu wajinga.

Mambo ya migogoro ni taaluma za watu.

Humu jukwaani Kuna kila Aina ya kada za kitaaluma.
 
Heri yako wewe ambae elimu imekupitia kulia, unajua kuliko wanaopokea wageni
 
Huju historia wewe. Mleta mada yuko sawa. Unajua uturuki iligeukaje kuwa nchi ya kiislamu?

Kwaiyo bado unazungumzia zama za kale? kizazi kilichopita na sisi tunazungumzia wakati huu kwa kizazi hiko.

Soma nyakati
 
Back
Top Bottom