Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Mmepuuzwa utoke Nanyumbu mpaka DSM itakuchukua siku mbili utafika kesho jioniNdio tumemaliza kunywa chai, tunavaa hapa bullet proof tusogee pande hizo mkuu. CDM nguvu moja
Wazungu wataushangaa uongo wa Tundu Lisu kuwaaminisha kwamba anapendwa kumbe watanzania wameshajua mkombozi wao aliyetumwa na MUNGU ni MAGUFULIAchana na watu wa kwenye media. Watakupotezea mda. Endelea na kazi zingine tu.
MUNGU wangu huyu naye ni mfuasi wa uongo wa Lituundu hajui hata anayemshabikia anakuja lini nyie ndio mnaomdanganya mwenzenu lituunduWewe uko dunia gani ......!? LIssu anarudi kesho tarehe 28 ............... Au ulitegemea watu wakashinde na kulala hapo!!
Watu wako kazini huku wakiomboleza msiba wa Rais Mstaafu Ben MkapaHii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
Hao watanzania ni wangapi ? au hata wakiwepo watu milioni moja ambao wanampenda sio watanzania ?, Au kipimo cha Utanzania ni kumchukia Lissu... kwanini tusiwaache hao wachache wafanye kile roho yao inapenda kufanya ?Wazungu wataushangaa uongo wa Tundu Lisu kuwaaminisha kwamba anapendwa kumbe watanzania wameshajua mkombozi wao aliyetumwa na MUNGU ni MAGUFULI
Waongo nyie watu wako busy kazini kama wenzako hawajui hata anarudi lini tayari mmeshapoteanaBaadaye usije ukaanza kulialia kuwa wanasababisha foleni.
😀😀😀Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
Yeah... ndio uzuri wa nchi huru..., na ambao hawataki kuomboleza au kwenda kumpokea mtu nao ni haki yao..., tusipangiane maisha....Watu wako kazini huku wakiomboleza msiba wa Rais Mstaafu Ben Mkapa
Yaani nyie Chadema mtaacha lini uongo? Mazoezi yote niliyopasha kuwasubiri yamekuwa Nazi bure?!Subiri ndege itue ndio utajua tunamaanisha