Sema uko busy, mimi niaenda Airport!Tuko bize na msiba wa Mzee wetu Mkapa
Kuna waliosema watakesha kumsubiri, wengine wanasema atakuja kesho nyumbu wa porini nyieShida iko wapi??? Sa saba Tupo pale. Twende saivi mseme tunaleta msongamano???
We nawe acha ushamba kwanza utasimama wapi wakati wenzio watakuwa na V8 hapa hawaji washamba washamba kama wewSema uko busy, mimi niaenda Airport!
Acha kuwa na fikra finyu..., hata kama mimi sitaki kwenda sio kwamba nikataze watu kwenda..., hujui implication ya unachokiongea.., leo tukiwakataza watu kufanya kitu ambacho sisi hatukipendi..., kesho pia watatukataza sisi kutokufanya kile ambacho sisi tunakipenda..., tusiwe na upeo mfupiWw mwenyewe uko Muheza unalialia tu
Non sense mwandishi wa manyumbu labda yaani washindwe kwenda kwenye maombolezo ya kitaifa waje kupiga picha wehuAkikaribia kutua, waandishi watakaojitokeza, ni hatari.
Ndio wapi huko mkuu nipe location nimpitie na mama yako tujenaeMmepuuzwa utoke Nanyumbu mpaka DSM itakuchukua siku mbili utafika kesho jioni
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaAcha kuwa na fikra finyu..., hata kama mimi sitaki kwenda sio kwamba nikataze watu kwenda..., hujui implication ya unachokiongea.., leo tukiwakataza watu kufanya kitu ambacho sisi hatukipendi..., kesho pia watatukataza sisi kutokufanya kile ambacho sisi tunakipenda..., tusiwe na upeo mfupi
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama#TunduLissuHomeComing
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaWachawi bwanaa!!!!
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaAcha kuwa na fikra finyu..., hata kama mimi sitaki kwenda sio kwamba nikataze watu kwenda..., hujui implication ya unachokiongea.., leo tukiwakataza watu kufanya kitu ambacho sisi hatukipendi..., kesho pia watatukataza sisi kutokufanya kile ambacho sisi tunakipenda..., tusiwe na upeo mfupi
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaKufanya wewe ni dereva taxi yasikupate yale ya Segerea.
Mwl... JK alisema watu wasukume gari wakitaka hata wambebe kwanini ccm inaumia sana kuja kitu and soon kitajulikanaHii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...