Katika jamii iliyostaarabika ndivo inakuwa. Msiba kweli tunao. Hii haimuondolei mtu haki ya kwenda airport kumpokea ndugu, rafiki, au kiongozi wake au mtu mwingine yeyote mwenye mapenzi nae. Taratibu tu zifuatwe. Na jeshi la polisi kazi yao sio kupiga raia bali kuwalinda.Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
Eti upo "kwenye shuguli zako" una shuguli tofauti na kusifia ili ule? Unamtakia mabaya mwanamme mwenzio akamatwe sababu ya siasa uchwara,akikamatwa baada ya uchaguzi wew binafsi utafaidika na nini? Lissu ni mtanzania na ana mke na watato.
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaUvccm unataka kushiriki mapokezi ya Lisu au unataka kuleta vurugu ?
Nguruwe wa Lumumba wapumbavu sanaKuna waliosema watakesha kumsubiri, wengine wanasema atakuja kesho nyumbu wa porini nyie
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaKatika jamii iliyostaarabika ndivo inakuwa. Msiba kweli tunao. Hii haimuondolei mtu haki ya kwenda airport kumpokea ndugu, rafiki, au kiongozi wake au mtu mwingine yeyote mwenye mapenzi nae. Taratibu tu zifuatwe. Na jeshi la polisi kazi yao sio kupiga raia bali kuwalinda.
Nguruwe wa Lumumba wapumbavu sana
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaKatika jamii iliyostaarabika ndivo inakuwa. Msiba kweli tunao. Hii haimuondolei mtu haki ya kwenda airport kumpokea ndugu, rafiki, au kiongozi wake au mtu mwingine yeyote mwenye mapenzi nae. Taratibu tu zifuatwe. Na jeshi la polisi kazi yao sio kupiga raia bali kuwalinda.
Nguruwe wa Lumumba malizeni maneno yooote lakini sisi tutakuwepo uwanjani kwa amani kumpokea kiongozi wetu.Tegemea hekaya hizi jioni.
* Tumempokelea mioyoni.
*Polisi wametusaidia kumpokea.[emoji16]
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salamaMleta mada umelaliwa na mumeo unasema upo airport.
Mm mbona mipo hapa arrival gate sikuoni?
Njoo hapa nimevaa koti jeusi.
Lissu anapokelewa mchana sasa wewe unataka watu wote wafike kabla ya saa nne asubuhi.
Watu wanamalizia kunywa chai na wanakuja kwa mamia kama sio maelfu.
Hatufanani akili jombaa..!!
Mbona hujaenda sasa??? umekalia keyboard ukiendelea kuchat badala ya kwenda kumpokea kiongozi wako?? uongo siyo kazi kwa kweli, yaleyale yalimshangaza MANGE KIMAMBI. Yetu macho, ndege inatua saa saba by the way nendaKatika jamii iliyostaarabika ndivo inakuwa. Msiba kweli tunao. Hii haimuondolei mtu haki ya kwenda airport kumpokea ndugu, rafiki, au kiongozi wake au mtu mwingine yeyote mwenye mapenzi nae. Taratibu tu zifuatwe. Na jeshi la polisi kazi yao sio kupiga raia bali kuwalinda.
Wazurulaji ndio mnaenda airport watu wa maana wote wako bize na msiba wa kitaifaSema uko busy, mimi niaenda Airport!
Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...