Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

Status
Not open for further replies.
Akikaribia kutua, waandishi watakaojitokeza, ni hatari.
 
Ww mwenyewe uko Muheza unalialia tu
Acha kuwa na fikra finyu..., hata kama mimi sitaki kwenda sio kwamba nikataze watu kwenda..., hujui implication ya unachokiongea.., leo tukiwakataza watu kufanya kitu ambacho sisi hatukipendi..., kesho pia watatukataza sisi kutokufanya kile ambacho sisi tunakipenda..., tusiwe na upeo mfupi
 
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
 
Mwl... JK alisema watu wasukume gari wakitaka hata wambebe kwanini ccm inaumia sana kuja kitu and soon kitajulikana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…