Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

Status
Not open for further replies.
Eti upo "kwenye shuguli zako" una shuguli tofauti na kusifia ili ule? Unamtakia mabaya mwanamme mwenzio akamatwe sababu ya siasa uchwara,akikamatwa baada ya uchaguzi wew binafsi utafaidika na nini? Lissu ni mtanzania na ana mke na watato.
 
Katika jamii iliyostaarabika ndivo inakuwa. Msiba kweli tunao. Hii haimuondolei mtu haki ya kwenda airport kumpokea ndugu, rafiki, au kiongozi wake au mtu mwingine yeyote mwenye mapenzi nae. Taratibu tu zifuatwe. Na jeshi la polisi kazi yao sio kupiga raia bali kuwalinda.
 
UVCCM unataka kushiriki mapokezi ya Lisu au unataka kuleta vurugu ?
 
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
Eti upo "kwenye shuguli zako" una shuguli tofauti na kusifia ili ule? Unamtakia mabaya mwanamme mwenzio akamatwe sababu ya siasa uchwara,akikamatwa baada ya uchaguzi wew binafsi utafaidika na nini? Lissu ni mtanzania na ana mke na watato.
 
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
 
Nguruwe wa Lumumba wapumbavu sana

Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
 
Mleta mada umelaliwa na mumeo unasema upo airport.
Mm mbona mipo hapa arrival gate sikuoni?
Njoo hapa nimevaa koti jeusi.
Lissu anapokelewa mchana sasa wewe unataka watu wote wafike kabla ya saa nne asubuhi.
Watu wanamalizia kunywa chai na wanakuja kwa mamia kama sio maelfu.
Hatufanani akili jombaa..!!
 
Nani kakuruhusu kuzunguka hapo? Wakisema kuna kitu kimeibiwa hasa tairi za ndege utahusika
 
Tegemea hekaya hizi jioni.

* Tumempokelea mioyoni.


*Polisi wametusaidia kumpokea.[emoji16]
Nguruwe wa Lumumba malizeni maneno yooote lakini sisi tutakuwepo uwanjani kwa amani kumpokea kiongozi wetu.
 
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
 
Watu tushafika tunazuga subil time ifike
 
Mbona hujaenda sasa??? umekalia keyboard ukiendelea kuchat badala ya kwenda kumpokea kiongozi wako?? uongo siyo kazi kwa kweli, yaleyale yalimshangaza MANGE KIMAMBI. Yetu macho, ndege inatua saa saba by the way nenda
 
Sasa mbona huendi kumpokea?? Nyie watu ni waninga sana, mna kazi ya kuandikaandika tu ila vitendo sifuri
 
Hakika marehemu Rais mstaafu wa awamu ya tatu BWM alikuwa sahihi kabisa aliposema baadhi ya watanzania ni MALOFA. Hata wewe ni miongoni mwao. Yaani asubuhi yote hii uko busy kutafuta umbea hapo Airport?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…