George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hapana...Durant anamfunika Curry?
KD ni kama wachawi wengine tu hapendi maendeleo yetu, bora hata angepata injury tu
Series bado ndugu yangu, KD alifanya kosa kujiunga na chockers. 3-0 si kitu kwa the best player in the planet King LBJ, usiwe na wasiwasi, CAVs watarudisha😉😉😉!Ha ha ha, Durant katubania mkuu.
Anafanya kama vile ni ugomvi.
Leo tena wamewabeba kabisa.. Kyrie getting same calls Curry alizokuwa hapati..
Series bado ndugu yangu, KD alifanya kosa kujiunga na chockers. 3-0 si kitu kwa the best player in the planet King LBJ, usiwe na wasiwasi, CAVs watarudisha😉😉😉!
Asante mkuu[emoji120]Hongera kwako pia mkuu..
Hahah unarudisha mjadala wa last season eenh wkt mambo yalipoenda kombo kwa Warriors...Nitaangalia highlights za dakika ya mwisho nione imekuwaje tena, isije kuwa kina LBJ wamenunuliwa.
Hahah unarudisha mjadala wa last season eenh wkt mambo yalipoenda kombo kwa Warriors...
Series bado ndugu yangu, KD alifanya kosa kujiunga na chockers. 3-0 si kitu kwa the best player in the planet King LBJ, usiwe na wasiwasi, CAVs watarudisha😉😉😉!
Hey dudes like KD deserves titles...he has been on top of his game since day 1...KD ni kama wachawi wengine tu hapendi maendeleo yetu, bora hata angepata injury tu
Kapigana sana yupo vizuri sanaDurant is game changer today, namuona kama mtu mwenye roho mbaya
Nzi kwa sasa yupo chooni kajificha[emoji1] (utani)Asante Mkuu, na wewe hongera sana...chockers safari hii tumekataa!
cc: Nzi
Ha ha! Kiukweli sikuangalia game. Nimekuja kucheki highlights na boxscore nimekuwa stunned!Asante Mkuu, na wewe hongera sana...chockers safari hii tumekataa!
cc: Nzi
Mnatamba sasa eh?Nzi kwa sasa yupo chooni kajificha[emoji1] (utani)
Hahahah bro Nzi usimaindi.Mnatamba sasa eh?
Pamoja na msimu kuwa mrefu, dakika za mwisho Lebron kafanya madudu ambayo yameigharimu timu yake.