NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Series bado ndugu yangu, KD alifanya kosa kujiunga na chockers. 3-0 si kitu kwa the best player in the planet King LBJ, usiwe na wasiwasi, CAVs watarudisha😉😉😉!

Nitavumilia tu mkuu, maana najua maumivu uliyokuwa nayo mwaka jana.

Ha ha ha.
 
Pamoja na msimu kuwa mrefu, dakika za mwisho Lebron kafanya madudu ambayo yameigharimu timu yake.

Naona Vince Carter kamchana alikuwa anaongea muda si mrefu...

Ila i don't keep a blame on LBJ...fatigue kaka msimu mrefu huu
 
Screenshot_20170608-001146%7E2.png
 
Series bado ndugu yangu, KD alifanya kosa kujiunga na chockers. 3-0 si kitu kwa the best player in the planet King LBJ, usiwe na wasiwasi, CAVs watarudisha😉😉😉!

Hebu acha utani bana! Watu tumeamua kujificha si mchezo! [emoji3]
 
Leo ni 15-0, sijui itakapofika 16-0 itakuwaje! Ni kwamba itakuwa ni rekodi ambayo haiwezi tena kuvunjwa hadi mwisho wa dunia. Nadhani ikitokea hivyo timu ya GSW itapewa nafasi ya pekee katika historia ya NBA na si ajabu wachezaji wake wote walioshiriki wakaingizwa kwenye Guinness Book of Records na Hall Of Fame moja kwa moja...au wengine mnasemaje?
 
Asante Mkuu, na wewe hongera sana...chockers safari hii tumekataa!
cc: Nzi
Ha ha! Kiukweli sikuangalia game. Nimekuja kucheki highlights na boxscore nimekuwa stunned!

Anyways, hongera kwa GSW. Sasa tusubiri game 4, kama ndiyo itakuwa mwisho au mwanzo wa series kwa Cavs!
 
Pamoja na msimu kuwa mrefu, dakika za mwisho Lebron kafanya madudu ambayo yameigharimu timu yake.

Natofautiana na wewe chifu katika hili. Bron played 45 minutes! Come one man, 45 MINUTES! What more could Bron have done? Korver missed the open corner three! That could have killed the game for Cavs!

This GSW is too much for Bron and Cavs. I'm pretty sure Bron will make some big calls this summer. If having superteam is the way to winning championships, then Bron should have one next summer. PG and AD would be my preferences! Then Cavs can compete with GSW's firepower.
 
Back
Top Bottom