hakika...amekuwa ''Point Guard'' sasa....He is Running the offence like never before..Somethings happen as a blessing in disguise..
Mkuu...Mzee wa fungu la kukosa, we mwenyewe umeona msimu ulioisha jinsi ambavyo Cavs walivyowatanguliza mbele GSW kwa baiskeli za mbao then wakawapita shaaa, halafu eti ndo uliochagua kuwashabikia.
Subiri vipigo tu kutoka kwa mmiliki wa ligi.
Mkuu...
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa imekuwaje...
Lakini nilijikuta navutiwa na GSW tu...
Hata kama Cavs atachukua ubingwa tena kwangu hakuna TATIZO..!
kesho ndio kesho..mtoto hatumwi dukani.......Natamani aendelee na moto huu huu ili kuwe na timu nyingi za kuangalia atleast.
kesho ndio kesho..mtoto hatumwi dukani.......
RW is the monsterRW atafia kwenye court kesho, maana atataka kulinda heshima ya nyumbani kwa vyovyote vile.
Kesho mbwa Kala mbwa!OKC vs GSW nadhan wanawaza RW nan atamkabaCongrats Russ & The Thunder............Can't wait for the Big Match Tomorrow...
View attachment 428575
Tho timu yangu ni OKC till idie
This is our season!playoffs mapema saaanaTuko pamoja mkuu###thunderUp
kwa walichowafanya Clippers leo wanadhihirisha si timu ya mchezo mchezo..hususani ukizingatia GSW Chemistry bado haieleweki,Thunder kuona kama ''wamesalitiwa'' na KD na mambo kadha wa kadha..Kesho mbwa Kala mbwa!OKC vs GSW nadhan wanawaza RW nan atamkaba
I believe teamwork ya OKC will provide a tough match-up against the Dubs..''Mr.Do It All'' should keep on believing his teammates,meanwhile,hoping GSW's sluggish start continues...RW atafia kwenye court kesho, maana atataka kulinda heshima ya nyumbani kwa vyovyote vile.
Basketball - Live Streaming Video / Watch Free Live Sport Streams-StreamHunterWadau nataka angalia game ya OKC Vs GSW leo, Naomba link ya kuangalia