NBA 2016/2017 Season Special Thread

He fits very well though bado timu inatafuta chemistry... Wakielewana vyema na bench likiwa zuri basi kazi tumemaliza..

Ready for Dallas now..
 
Naona leo Klay Thompson yuko katika UBORA wake...
Go Klay...
Go warriors..!
 
Mandevu anawaua Spurs huku... 15 Assist with 6 minutes to play...

Naona anataka uMVP msimu huu..
 
The Numbers are astonishing......
 
Bora tuwe inconsistent ili trollers wapate cha kusema...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...
La sivyo tunaweza tusiwaone msimu mzima humu...
GSW ni kama maji...
Usipoyanywa,basi ni lazima utayaoga..!
Cavs wamepoteza,OKC wamepoteza...
Watu wako kimya...
Akipoteza GSW,kuna watu utashangaa hata walipotokea...
Me nahisi hawa Anti-GSW wameacha kuangalia games za timu zao,kilichobaki wanaangalia games za GSW tu..!
That's why timu zao zikifungwa HAWATAMBUI..!
Go Steph...
Go Warriors..!
 
Ligi hii huwezi kumaliza bila kufungwa mkuu, na ukifungwa unajipanga.
Mkuu...
Mashabiki wa GSW wako SMART sana...
Pamoja na Cavs kula kichapo,naona wamekaa KIMYA...
Wako busy na GSW yao tu...
Jambo ambalo hauwezi kuliona GSW ikipigwa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…