NBA 2016/2017 Season Special Thread

Achana nao hao, wanahangaika bure. Naona benchi ya Warriors inavyojitutumua hapa...Mavericks wanayanywa!
 
GSW kama Man U tu
akishinda huwaoni akifungwa au sare hata wanapotokea hupajui....
 
Mkuu...
Mashabiki wa GSW wako SMART sana...
Pamoja na Cavs kula kichapo,naona wamekaa KIMYA...
Wako busy na GSW yao tu...
Jambo ambalo hauwezi kuliona GSW ikipigwa..!

Wanajua nini Cavs aliwafanya (3-1) kwenye finals, usione wako kimya ukadhani eti ni usmart, hawataki kuisikia Cavs popote pale ilipo.
 
Wazoee tu,wapo wenye constructive criticism na wapo matrollers...hakuna namna ya kuwazuia...
Bila GSW kuwamentioned Jukwaa halinogi.....😀😀
 
Bora tuwe inconsistent ili trollers wapate cha kusema...😀😀😀...
La sivyo tunaweza tusiwaone msimu mzima humu...
teh teh teh kuna mmoja naona anahangaika kweli kweli hapa..

Acting like a 16 old kid..
 
Wanajua nini Cavs aliwafanya (3-1) kwenye finals, usione wako kimya ukadhani eti ni usmart, hawataki kuisikia Cavs popote pale ilipo.
teh teh teh mkuu jamaa kauliza swali zuri tu, mbona updates za Cavs hatuzionagi humu??

C'oooon mpaka hizo nazo tulete sisi??
 
teh teh teh mkuu jamaa kauliza swali zuri tu, mbona updates za Cavs hatuzionagi humu??

C'oooon mpaka hizo nazo tulete sisi??

Mkuu yeyote anaweza kuleta updates kwa kuona zinamhusu vipi.

GSW ni moja ya superteam kuwahi kutokea NBA, inashikiria rekodi ya 73/9 (kushinda mechi nyingi zaidi kwenye msimu), inashikiria rekodi zingine nyingi, bila kusahau rekodi za wachezaji binafsi; Steph Curry na Klay. Ina MVPs wawili, na 4 starters ambao ni all stars.

Kwa hiyo GSW kushinda game ni kitu ambacho kinategemewa, ila kufungwa ndo habari; kwa nini ifungwe na ubora wote huu ilionao? Ni moja ya timu tulizotegemea/tunazotegemea kutofungwa kabisa na ikitokea ikafungwa ndo pale tunashangaa.

Kwa hiyo mimi GSW kufungwa ni taarifa kwangu ndo maana naweza kuleta news humu. Ila Cavs kufungwa na GSW kwenye finals ndo inaweza kuwa ajabu kwangu.
 
It was an emotional night for D.Wade..
 
wamekuwa Honored mapema kabla kichaa hajapewa rungu.......

cc:Raimundo

Nilijua watakutana na Trump, make naye alikuwa na kikao na Obama cha kukabidhiana ofisi.

Nilikuwa nawaza LBJ ataongea nini make alivyomkampenia Mama Clinton Ohio na bado Trump akashinda hiyo hiyo Ohio.
 
Tyta Lakers wanaelekea kushinda game ya Kings, nilikuwa nimewakatia tamaa lakini naona wamepiga comeback!

Trailing by 19 first half, now up by 10, 3 minutes to time.

Kudos to Luke Walton.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…