Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Achana nao hao, wanahangaika bure. Naona benchi ya Warriors inavyojitutumua hapa...Mavericks wanayanywa!GSW ni kama maji...
Usipoyanywa,basi ni lazima utayaoga..!
Cavs wamepoteza,OKC wamepoteza...
Watu wako kimya...
Akipoteza GSW,kuna watu utashangaa hata walipotokea...
Me nahisi hawa Anti-GSW wameacha kuangalia games za timu zao,kilichobaki wanaangalia games za GSW tu..!
That's why timu zao zikifungwa HAWATAMBUI..!
Go Steph...
Go Warriors..!