Exactly muangalie Durant anavyoteleza yaani 30pts zinaonekana rahisi kwake hata hajachoka. He's been at this point time and time again.Playoffs zina pressure zaidi, inahitaji uzoefu kuweza kukabiliana na hizo pressure.
Nurkic anarudi kweli? Si ana injury ya mguu ama?crabbe na aminu wako vzuri ila leo wamepoa.. lets wait till nurkic gets back n c how its gon b
Lakini his kryptonite ni Bron! He and Steph are way too intimidated na Bron. Draymond hamwogopi Bron, shida hana offensive prowess ya kwenda toe to toe na Bron.Exactly muangalie Durant anavyoteleza yaani 30pts zinaonekana rahisi kwake hata hajachoka. He's been at this point time and time again.
amepona ila bdo hajaruhusiwa kucheza.Nurkic anarudi kweli? Si ana injury ya mguu ama?
Brother...this KD means business hatakubali aibu ya kumkimbia Russell kuhamia duka la mjomba halafu akose ubingwa ikija finals akikutana na LBJ ndio utanielewa..kwanza kujifua defensively akijua kwamba atakutana na King J.Lakini his kryptonite ni Bron! He and Steph are way too intimidated na Bron. Draymond hamwogopi Bron, shida hana offensive prowess ya kwenda toe to toe na Bron.
Kama Cavs na GSW wakikutana tena Finals, GSW wana chances kubwa za kushinda. Ingawa anything can happen.
Kwani game ya mwisho kwenye regular season kati ya Blazers na GSW huyo Nurkic hakuwepo..?amepona ila bdo hajaruhusiwa kucheza.
Hivi leo kuna kulala kweli dah!!CelticsvsBulls comin up my money is on Celtics.. game on.
Wanasema mfupa and/or muscle ulioathiriwa sio weight carrying muscle kwa hiyo anaweza kuhimili kishindo cha uzito wake japo lazima asikie maumivu kiasi. Itategemea minutes regulation recommendations za doc/fitness trainer.amepona ila bdo hajaruhusiwa kucheza.
ni kweli.. ila mwenywe anasema hackii maumivuWanasema mfupa and/or muscle ulioathiriwa sio weight carrying muscle kwa hiyo anaweza kuhimili kishindo cha uzito wake japo lazima asikie maumivu kiasi. Itategemea minutes regulation recommendations za doc/fitness trainer.
ndo kwanza kumekucha [emoji23] [emoji23]Hivi leo kuna kulala kweli dah!!
The same applies kwa Cavs, wakitaka ku-settle who is better. Kumbuka sasa ni 1-1. Itakuwa physical sana hiyo Finals series. Na Draymond anavyochezaga na emotions, Cavs watakuwa wakim-provoke sana.Brother...this KD means business hatakubali aibu ya kumkimbia Russell kuhamia duka la mjomba halafu akose ubingwa ikija finals akikutana na LBJ ndio utanielewa..kwanza kujifua defensively akijua kwamba atakutana na King J.
Utaona moto wake kaka hautoamini macho yako. Itakuwa ngoma kali ya kufa mtu. Cavs watakuja zote na GSW watakuja zote...no fear kaka trust me...they are fed up with the ''3-1 choking'' joke. Subiria uhondo kama wakikutana.
Bulls are going to steal this game..CelticsvsBulls comin up my money is on Celtics.. game on.
Dont think so.Bulls are going to steal this game..
Na wanampatiaga kweli tatizo akili zake kuna wakati anakuwa kama kanywa wanzuki.The same applies kwa Cavs, wakitaka ku-settle who is better. Kumbuka sasa ni 1-1. Itakuwa physical sana hiyo Finals series. Na Draymond anavyochezaga na emotions, Cavs watakuwa wakim-provoke sana.
Good news kwangu hiyo uhondo utaongezekani kweli.. ila mwenywe anasema hackii maumivu
One thing I can bet Dray wont get a Tech no Flagrant foul all this postseason..The same applies kwa Cavs, wakitaka ku-settle who is better. Kumbuka sasa ni 1-1. Itakuwa physical sana hiyo Finals series. Na Draymond anavyochezaga na emotions, Cavs watakuwa wakim-provoke sana.
Hopefully....he did cost them a championship.One thing I can bet Dray wont get a Tech no Flagrant foul all this postseason..
Hatakubali kurudia makosa ya mwaka jana..