Kaka, kwa anavyochezaga kwa emotions, he is prone to get them! Wapinzani watatumia hilo kumchokoza. Hivi ana tech na flagrant fouls ngapi kwenye regular season?One thing I can bet Dray wont get a Tech no Flagrant foul all this postseason..
Hatakubali kurudia makosa ya mwaka jana..
Hii pia ni moja ya sababu ya kufanya Cavs vs. GSW Finals kuwa ya kukata na shoka! Kila upande una excuses za kupoteza Finals. Sasa kama mwaka huu kila timu ikiwa healthy na full squad, basi nani mtabe.Hopefully....he did cost them a championship.
Yes sir...let the hunger games begin. Kill or get killed.Hii pia ni moja ya sababu ya kufanya Cavs vs. GSW Finals kuwa ya kukata na shoka! Kila upande una excuses za kupoteza Finals. Sasa kama mwaka huu kila timu ikiwa healthy na full squad, basi nani mtabe.
Ana Tech 14 na Flag 2.. amekuwa ejected mara moja tu.. Lakini hayo hataruhusu kuyafanya kwenye postseason. He knows the cost..Kaka, kwa anavyochezaga kwa emotions, he is prone to get them! Wapinzani watatumia hilo kumchokoza. Hivi ana tech na flagrant fouls ngapi kwenye regular season?
Let's wait and see...tusiandikie mate wakati wino upo.Ana Tech 14 na Flag 2.. amekuwa ejected mara moja tu.. Lakini hayo hataruhusu kuyafanya kwenye postseason. He knows the cost..
Such a looooong Easter weekend, sleepless nights has begun..Yes sir...let the hunger games begin. Kill or get killed.
Am for Celtics....the biggest little guy just lost his kid sis. So am supporting the [HASHTAG]#ThisIsForChyna[/HASHTAG] movement.Such a looooong Easter weekend, sleepless nights has begun..
Who are u rooting? Bulls vs Celtics...
Kwamba kuna watu walikuwa wanasubiri Warriors wapoteze mchezo kwa Trail Blazers! Jamani kwa mambo mengine tuache utani. Eti Allen Crabbe angecheza anavyochezaga GSW wangefungwa...duh! First seed anakutana na last seed na wapo watu wana bet kwa last seed, kama huo si utani ni nini nambieni! Si ajabu kuwakuta watu kama hao siku wakienda Las Vegas ni furaha na kicheko njia nzima...shuhudia siku ya kurudi, ni huzuni na kilio utadhani wamefiwa ha ha haaa!Yeah Allen Crabbe angecheza kama anavyochezaga regular season kazi ingekuwepo ila playoffs sijui kwanini stage inakuwaga kubwa kumzidi
first seed or last seed r just numbers.. celtics are trailing ryt nowKwamba kuna watu walikuwa wanasubiri Warriors wapoteze mchezo kwa Trail Blazers! Jamani kwa mambo mengine tuache utani. Eti Allen Crabbe angecheza anavyochezaga GSW wangefungwa...duh! First seed anakutana na last seed na wapo watu wana bet kwa last seed, kama huo si utani ni nini nambieni! Si ajabu kuwakuta watu kama hao siku wakienda Las Vegas ni furaha na kicheko njia nzima...shuhudia siku ya kurudi, ni huzuni na kilio utadhani wamefiwa ha ha haaa!
Just numbers? Oh well, numbers matter!first seed or last seed r just numbers..
Celtics? Who are Celtics?celtics are trailing ryt now
the number one seed.. since numbers matter [emoji23] [emoji23] [emoji23]Just numbers? Celtics? Who are Celtics?
kama kawa.. ila hapa cna side mi naangalia tu talents..... but IMO they will prevail although it won't be easy. Now we're moving to the battle of MVP.
Lets go..... but IMO they will prevail although it won't be easy. Now we're moving to the battle of MVP.
Mimi niko upande wa Agent Zero!kama kawa.. ila hapa cna side mi naangalia tu talents.
kama kawa.. ila hapa cna side mi naangalia tu talents.
westbrook is under too much pressure.. wamsaidie huyu jamaa atachoka mapemaMimi niko upande wa Agent Zero!
mayb celtics walijiamini sana ndo mana wakaluz, but bulls hawako strong kivile.Mie pia ni shabiki tu ila nataka sana Celtics washinde ili round ya pili kama watafika huko kuwe na ushindani zaidi. Hawa Bulls bado nawaona ni nguvu ya soda pamoja na kuwa tuko kwenye playoffs.