NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Afadhali hata hivyo unapata timu za kukusaidia kutufunga, maana najua ninyi hamwezi kutufunga!

Wazee wa kupoteza 3-1, hivi X-Mass tuliwachakaza, tar 16 tunakuja tena kuwachakaza.
Ha ha haa Raimundo, nakutakia kila la heri.
Kumbukumbu, kumbukumbu...
kwenye uwanja wa Quicken Loans Arena, Cleveland​

Hiyo ilikuwa ni mwaka jana...January 18, 2016
 
Dah mkuu hizi kumbukumbu zako ni za ajabu sana, yaani unachagua za zamaaaani!

Hebu tuangalie za hivi karibuni:-

Last 4 meetings.jpg
 
Dah mkuu hizi kumbukumbu zako ni za ajabu sana, yaani unachagua za zamaaaani!

Hebu tuangalie za hivi karibuni:-

View attachment 459322
Hapana, najikumbusha tu yaliyotokea mwezi Januari mwaka jana 2016 na tunayotarajia mwezi kama huo huo wa Januari 2017! Sina nia mbaya ndugu yangu!
 
Kwenye locker rooms kutakuwa bado kunanukia harufu ya shampeni!
 
Bingwa anapigwa back to back...

Kila siku ni excuse baada ya excuse...hivi jana CAVs ilipopigwa 102-86, nitajie hao ambao hawakucheza! Yaani defending champions hata wakifungwa, kwa msocial ni non-issue ila Warriors wakifungwa eti ni newsworthy! Rekodi ya CAVS nyumbani ni 18-3 lakini ugenini ni 10-7...aibu kubwa kwa timu bingwa!

Yale yaleee...! Utetezi usio na kichwa wala miguu. Jana Trail Blazers kawahenyesha na badala ya kukubali kama alivyofanya Raimundo, wewe unaleta sababu maandazi😵 Hebu angalia hapa...!

201701120000000181555

Pamoja na kukabwa na King na subjects wake watiifu wawili, McCollum anazidi kutungua tu! Bahati yenu Lilard jana kapoa la sivyo kipigo kingekuwa cha hatari. Acheni visingizio😱😱😱!

Juzi hapa mmejitetea, oh subirini J. R. Smith arudi ha hahaaa, jana karudi akakuta anachezeshwa sindimba, angalieni hapa...!

Cavaliers_Trail_Blazers_Basketball_80030.jpg

Ndio maana nikasema wengi hamuelewi kuwa Cavs are not very interested in regular season, LeBron amecheza games nyingi sana throughout his career ( amecheza dakika nyingi sana kuliko wachezaji wote ambao ni active kwa sababu kila mwaka amecheza playoffs na miaka 6 iliyopita amafingia fainali mfululizo, hiyo inakuchosha sana physically and mentally), anaelewa kitu gani haswa kinahitajika ili team yake iwe katika good position ya kushinda ubingwa, Cavs hata wakifungwa vipi bado kule East watakua either #1 or #2 seed wakati wa playoffs so kufungwa regular season kwao sio issue kama unavyofikiria.

They are just interested in being healthy wakati wa playoffs, hawana muda wa kuweka jitihada zote kwenye hizi games halafu ikifika playoffs wawe wamechoka au injured, Point ni kwamba, hawako makini sana during regular season, Unadhani Cavs wakiamua Blazers watawafunga? Records za regular season waachieni GSW. Kule west ukifungwa game 2 mfululizo Spurs wanakua #1 au Rockets.
 
Kwani unadhani hawajui?

Wanajua sana, maana ni hawa hawa waliovunja record 73 - 9, wakakutana finals na Cavs iliyokuwa na 57 - 25!

Sitaki kuwakumbusha zaidi, maana mpaka sasa ukimuuliza Mag3 kuhusu matokeo ya GSW na Cavs anakupa ya mwaka juzi.
 
Ndio maana nikasema wengi hamuelewi kuwa Cavs are not very interested in regular season, LeBron amecheza games nyingi sana throughout his career ( amecheza dakika nyingi sana kuliko wachezaji wote ambao ni active kwa sababu kila mwaka amecheza playoffs na miaka 6 iliyopita amafingia fainali mfululizo, hiyo inakuchosha sana physically and mentally), anaelewa kitu gani haswa kinahitajika ili team yake iwe katika good position ya kushinda ubingwa, Cavs hata wakifungwa vipi bado kule East watakua either #1 or #2 seed wakati wa playoffs so kufungwa regular season kwao sio issue kama unavyofikiria.

They are just interested in being healthy wakati wa playoffs, hawana muda wa kuweka jitihada zote kwenye hizi games halafu ikifika playoffs wawe wamechoka au injured, Point ni kwamba, hawako makini sana during regular season, Unadhani Cavs wakiamua Blazers watawafunga? Records za regular season waachieni GSW. Kule west ukifungwa game 2 mfululizo Spurs wanakua #1 au Rockets.
Mkuu wanajifanya hawaeilewi cavs hebu waache tu kama walivyo, wamesahau hata mwaka juzi walivyochukua ubingwa CAVS hawakuwa na regular season nzuri lakin mwisho wa siku ndio wakaja kuwasumbua fainali.

As for this moment let em gloating over this loss as much as they can, but 16th is almost here, just wait to see them bemoaning here over refs decisions
 
Sasa mkuu hiyo 16th ni playoff?
 
Sasa mkuu hiyo 16th ni playoff?
Namaanisha hiyo tarehe 16 pale oracle arena CAVS wataacha msiba na mashabiki wa warriors tutawaona wakilia lia kama kawaida yao, kwa maana hamnaga excuse nyingine zaidi ya kuwalilia marefa.
 
Ndio maana nikasema wengi hamuelewi kuwa Cavs are not very interested in regular season
Huu ni utetezi vitumbua unaoweza kutolewa tu na shabiki maandazi🙂🙂🙂!
Namaanisha hiyo tarehe 16 pale oracle arena CAVS wataacha msiba na mashabiki wa warriors tutawaona wakilia lia kama kawaida yao, kwa maana hamnaga excuse nyingine zaidi ya kuwalilia marefa.
Usiwe na wasiwasi leo ni tarehe 13, kaza moyo uwanja wa Oracle uko Bay Area, Oakland, CA karibu na Silicon Valley infotech Center ya dunia! Kama utachungulia kwa makini utaniona uwanjani...karibu sana.
 
Huu ni utetezi vitumbua unaoweza kutolewa tu na shabiki maandazi🙂🙂🙂!
Call it whatever you want, that's the reality, Cavs couldn't care less about losing on Monday because they know, their main aim is to be ready & healthy, come playoffs, that's when things matter to them.
 
Cavs wamecheza Playoffs ngapi? Na wana Rings ngapi?
 
Cavs wamecheza Playoffs ngapi? Na wama Rings ngapi?
Achana na huyo, akitakiwa kutoa ushahidi wa madai yake kwamba CAVS couldn't care less about losing on Monday because they know, their main aim is to be ready & healthy, come playoffs. Sijui hii aliipata wapi na aliongea na nani...ndio maana nikasema ni utetezi maandazi. Eti Warriors only care about setting records, my foot! Hapa ni ulimbukeni tu unasumbua.
 
LeBron amecheza finals 6 mfululizo, na ameshinda 3 rings, so he knows what a team needs to have the best chance to be champions, and he's the leader of that team, anajua regular season unatakiwa ushinde games za kutosha ili uweze kuingia playoffs, pia playoffs za conference(East) inatakiwa mechi nyingi uwe na home court advantage ili mcheze mechi chache kabla ya kwenda finals maana mkiwa hamna home court advantage throughout playoffs mtacheza games nyingi kuliko inavyotakiwa maana kushinda ugenini ni shida, pia mtasafiri sana kitu ambacho kinachosha, na pia kama kuna kuna wachezaji wameumia mkiwa na homecourt advantage wanapata muda wa kupona kabla ya finals.
 
Achana na huyo, akitakiwa kutoa ushahidi wa madai yake kwamba CAVS couldn't care less about losing on Monday because they know, their main aim is to be ready & healthy, come playoffs. Sijui hii aliipata wapi na aliongea na nani...ndio maana nikasema ni utetezi maandazi. Eti Warriors only care about setting records, my foot! Hapa ni ulimbukeni tu unasumbua.
You don't have to curse people out to make your point, state your points, nobody is interested in your drivel.
 
Cavs wameshakua watu wa excuse Jumatatu wakifungwa watasema hawajali wanasubiri playoff ila wakishinda watatroll mpaka basi
Hivi kati ya nyie warriors na cavs ni akina nani wanaongoza kwa kutoa excuse za kipuuzi pale mmoja anapopata matokeo ya kutoridhisha?

Yaani sio wachezaji sio mashabiki wote huwa ni kulia lia tu, hata last season baada ya kutemeshwa ubingwa mlianza ohoo suspension ya green sijui wametuonea na blah blah nying tu.
 
Achana na huyo, akitakiwa kutoa ushahidi wa madai yake kwamba CAVS couldn't care less about losing on Monday because they know, their main aim is to be ready & healthy, come playoffs. Sijui hii aliipata wapi na aliongea na nani...ndio maana nikasema ni utetezi maandazi. Eti Warriors only care about setting records, my foot! Hapa ni ulimbukeni tu unasumbua.
Just keep calm and wait, less than 48 hrs remained
 
You don't have to curse people out to make your point, state your points, nobody is interested in your drivel.
Okay point noted. Now tell us how you learnt that CAVS couldn't care less about losing on Monday because they know, their main aim is to be ready & healthy, come playoffs. Do you even know why regular season games matter so much?

I know for one that it gives participating teams a chance to get to know each other (1), to know other teams (2), to know ones' weaknesses (3), to know which areas reinforcement is needed (4), to increase players' stamina (5), to let the coach study and know his team better (6), to prepare and be ready for the playoffs both mentally and physically (7)
 
Back
Top Bottom