Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Ha ha haa Raimundo, nakutakia kila la heri.Afadhali hata hivyo unapata timu za kukusaidia kutufunga, maana najua ninyi hamwezi kutufunga!
Wazee wa kupoteza 3-1, hivi X-Mass tuliwachakaza, tar 16 tunakuja tena kuwachakaza.
Kumbukumbu, kumbukumbu...
kwenye uwanja wa Quicken Loans Arena, Cleveland
kwenye uwanja wa Quicken Loans Arena, Cleveland
Hiyo ilikuwa ni mwaka jana...January 18, 2016