Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni NBA fanatic tu ambae pia ni.Kwani wewe ni nani..!?
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Inaonekana timu zinazopewa nafasi ni tatu tu, CAVS, Rockets na Spurs...is this just an incidence, coincidence or conspiracy per se? To leave out the season leaders...is this intentional, deliberate or just mendacious? Mmmh, let us face some facts here...
GSW leads in;
SAS leads in;
- points per game
- field goal percentage
- assists per game
- blocks oer game
- steals per game
Houston Rockets leads in;
- three point percentage
CAVS leads in;
- three pointers made
Sasa watu mnapoamua kutowapa hata kajinafasi GSW...ain't this wrong, disingenuous and perjurious? Now, are we to assume that GSW fluked their way to top the season? Phew!
- ???
Told u, Bulls are going to surprise the basketball world..so unamaanisha bulls atapita kwa celtics, then atapita kwa wizards!! we jamaa mkali [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna hatari hiyo kwa kweli...nimemsikiliza Paul George kwenye press conference zake game 1 and 2...he speaks like a defeated man. He's bashing his teammates instead of rallying them behind him.Indiana anapigwa sweep mkuu.
Akijitahidi sana anapigwa gentleman sweep.
Unafikiri kwanini mliikimbia first seed?Kwa hiyo Bulls atamtoa Wizards?
Yale ya hawawezi kucheza pamoja kwa kuwa Rondo is a problem child ni maneno tu.
Jamaa sijui hata kama unaangalia matches au hata kufatilia.. Spurs kaisumbiaje Warriors kwenye regular season?Bro, forget all of that stats that are actually inconsequential currently, it is obvious now we have got used to seeing better warriors in regular seasons and no one can dethrone your top spot in Western conference, but just to remind you this is playoff stage and as you get closer to the final there are many changes happen injuries, fatigue,pressure and tension get higher regardless the opponent you play against. Binafsi naamini GSW watafika mbali ila wakikutana na spurs hapo ndio utakuwa mwisho wao kumbuka spurs alivyowasumbua in regular season na almanusura awapole nafasi yenu mlioizoea. Lakini pia mkifika fainali MNA nafasi kubwa ya kuchukua bingwa lakini napo itabidi spurs awe ametoka mapema.
Hapo ndio utajua kuwa playoff game ni nyingine kabisa huwezi kulinganisha na regular season huu ni muda wa Ku over performHii ndio playoffs basketball. Coach wa bulls anasema Rondo is not always expressing himself in right ways but he does so on the court. Kweli mtu mzima dawa
Hapo ndio utajua kuwa playoff game ni nyingine kabisa huwezi kulinganisha na regular season huu ni muda wa Ku over perform
Jamaa sijui hata kama unaangalia matches au hata kufatilia.. Spurs kaisumbiaje Warriors kwenye regular season?
First match it was opening match, the chemistry wasn't there at all.. Pia warriors ilipoteza mechi nyingine mbili kati ya tano za mwanzo..
Second match it was bench match.. All our stars were out.. Nothing to brag here..
Third match ndio angalau ilikuwa match up ya kuongelea.. Warriors were down 22 at some point but come back to beat the spurs by double digits and Durant was just injured..
Sawa, Cavs waliikimbia Bulls.Unafikiri kwanini mliikimbia first seed?
Unaona hao Celtics wanavyodhalilishwa..
Proving my point...Now watch 8 seed going to sweep the first seed..
Akili ni nywele kila mtu ana zake. Smart move kama ni kweli. Now they can build up their strength polepole kabla ya kukutana na majabari.Sawa, Cavs waliikimbia Bulls.
Imeisumbuaje sasa? Bado hujajibu swali.. Au maana ya kuisumbua hujui pia..Teh....teh...unachekesha sana mazee, yaani unabisha kitu alafu tena unajikosoa mwenyewe hebu soma hapo kwenye blue na kwenye red kisha umalizie kwenye kijani baada ya hapo utafakari mwenyewe.
warriors kasumbuliwa na spurs kasumbuliwa sana tu this season, nakumbuka mwaka jana mwanzoni mwa msimu ulichezea kitu kama 125-101 tena na nyie splash brothers mkiwemo na sio hiyo moja tu na bado pia mwaka huu mmechezea hadi kukawepo wasi wasi wa nyie kushika nafasi ya pili.
Kingine performance ya spurs imepanda kulinganisha na nyie hapa nafanya comparison na last season kwa timu zote mbili, kwa hiyo spurs kwangu ana nafasi kuliko nyie
Now Lebron anawacheka tu hao Celtics kushangilii first seedSawa, Cavs waliikimbia Bulls.
Nilishasema tangia mwanzo, Bulls are going to surprise all of us.. Tena niliyasema haya kabla ya game 1..Proving my point...
Ule ulikuwa ushabiki tu na kuchangamsha jukwaa.. Lakini bado haimaanisha Cavs si wabovu defensively..