Ni hatari nakuambieni. Nautazama mchezo wa Pelicans na Blazers, duh. Nakwambia Lillard kafungwa luku huku McCollum kapigwa breki na mchezo umebaki kwa mapande ya watu tu. NOP ghafla imekuwa tishio!
Natabiri matokeo.yangu
Warriors in 5
Raptors in 6
Heats in 7
Blazers in 7
Celtics in 6
Cavs in 5
Thunder in 7
Rockets in 5
Si iangalii hiyo ila Celtics pamoja na ubovu wao si wa kutolewa na bucks
HahahaMkuu Boston wanapigwa leo, tena wasipoangalia ni Sweep
Hahaha
Jaman Brad Stevens ni kocha mzuri sidhani kama ata kosa tactics hata za gem moja tuu.
Duuh!Pengo la Kyrie Mkuu ni kubwa sana they are down 45-38
This game bado basi kakaHalftime 47-44 Bucks
This game bado basi kaka
Its winnable
YesYes Mkuu but Celtics need to pull up their socks before it’s too late.
Hahaha
Jaman Brad Stevens ni kocha mzuri sidhani kama ata kosa tactics hata za gem moja tuu.
I am and oh my, what a game!Who is watching Celtics vs. Bucks?