Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
3period mlikuwa sawa Mzee hata kushinda ni tofauti ya point 5 Leo Pelicans walikuwa vizuri..Serious ?
Cavs walioshinda kwa point 1tena OT hawakupelekewa moto but GSW ndio wamepelekewa moto ?3period mlikuwa sawa Mzee hata kushinda ni tofauti ya point 5 Leo Pelicans walikuwa vizuri..
Rockets hawaitishii Cavs. Hiyo matchup siyo ngumu kwa Cavs. Naamini hata Cavs wanawataka Rockets kwenye NBA Final.Yani Kiufupi hawa Rockets wangehamia upande anaocheza Cavs, tungeona fainali za NBA Rockets vs GSW hata 5 yrs mfululizo.
You must joking. Ebu fafanua sababu za kusema hivyo.ila this sessions Victor Oladipo kwangu ni the best kwa PlayOff hii
Melo keshasema yeye hajioni akiwa bench player. Ila kwa mshiko atakaopewa na OKC, naamini atakubali tu mwishowe. Na itakuwa nzuri kwake.,Carmello ataanzia benchi kidogo kuiboost rooster
Cavs walikuwa ugeni, kwenye home court ya number 1 team in the East. Pia walikuwa na siku 1 ya kupumzika after gritty game 7.Cavs walioshinda kwa point 1tena OT hawakupelekewa moto but GSW ndio wamepelekewa moto ?
Eventually Raptors will sweep trough the remaining fixtures, 4-1 to Raptors
Tena unaweza kushangaa wakashinda 4 straightraptors kwa lebron wanakuwaga wapuuzi kichizi.. sitashangaa cavs na ubovu wake wote.. wakashinda hii series
Okay.Eventually Raptors will sweep trough the remaining fixtures, 4-1 to Raptors
Yaani kuna watu GSW hawaipi nafasi kabisaaa ya kufika fainali...eti wanaoongelewa ni Rockets tu na Cavs! Wamesahau 2015! GSW Pamoja na kuongoza kwenye regular hakuna aliyewapa nafasi hata kiduchu na hata pale walipoitoa Cavs, excuses zilitolewa kibao. Nani aliwafahamu? Kwanza wote ilikuwa ni mara yao ya kwanza kucheza kwenye playoffs! Who the hell was Steph Curry!Cavs walioshinda kwa point 1tena OT hawakupelekewa moto but GSW ndio wamepelekewa moto ?
BTW
GSW wameset standard kubwa sana mpaka wakishinda kwa point 5 inaonekana wamepelekeshwa
Sijaona mtu wa kuwazuia GSW msimu huu pia CAVS hawapo vzr kbs kupambana na GSWYaani kuna watu GSW hawaipi nafasi kabisaaa ya kufika fainali...eti wanaoongelewa ni Rockets tu na Cavs! Wamesahau 2015! GSW Pamoja na kuongoza kwenye regular hakuna aliyewapa nafasi hata kiduchu na hata pale walipoitoa Cavs, excuses zilitolewa kibao. Nani aliwafahamu? Kwanza wote ilikuwa ni mara yao ya kwanza kucheza kwenye playoffs! Who the hell was Steph Curry!
Kwa stats, GSW wanaongoza kwa points, assists, blocks, FG% na FT% lakini bado haters hawaipi nafasi hata kidogo! Ni kweli GSW hawana bigs na ten-footers kama timu zingine lakini wana compensate katika speed and execution. It is a team many would love to watch. Siku Curry, Clay na Durant watakapokuwa moto wote kwa pamoja, sijui kama kuna timu itawasogelea!
Nilisema na narudia...umdhaniye ndiye siye. Huu ni mwaka wa maajabu katika mchezo huu wa vikapu! Utah Jazz kamshinda Houston Rockets nyumbani kwao mbele ya mashabiki wao, duh!Mh! What a surprise! I didn’t expect Jazz to be in this position after 2 games. Houston better watch out!
Nilisema na narudia...umdhaniye ndiye siye. Huu ni mwaka wa maajabu katika mchezo huu wa vikapu! Utah Jazz kamshinda Houston Rockets tena ugenini mbele ya mashabiki wao!
utah is a bad bad team!!Wamechomos tena nyumbani kwa Rockets!Naomba yajirudie ya kwetu OKC!!Even series to Game 6 tu Rockets atolewe
And they starting PG Rubio yuko Injury.. Aisee na kule kwao na Dhani series inaweza rudi Houston ikiwa 2-2Mh! What a surprise! I didn’t expect Jazz to be in this position after 2 games. Houston better watch out!