NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
This is curry
IMG_20180502_082221_412.jpg
 
3period mlikuwa sawa Mzee hata kushinda ni tofauti ya point 5 Leo Pelicans walikuwa vizuri..
Cavs walioshinda kwa point 1tena OT hawakupelekewa moto but GSW ndio wamepelekewa moto ?

BTW
GSW wameset standard kubwa sana mpaka wakishinda kwa point 5 inaonekana wamepelekeshwa
 
Yani Kiufupi hawa Rockets wangehamia upande anaocheza Cavs, tungeona fainali za NBA Rockets vs GSW hata 5 yrs mfululizo.
Rockets hawaitishii Cavs. Hiyo matchup siyo ngumu kwa Cavs. Naamini hata Cavs wanawataka Rockets kwenye NBA Final.
 
,Carmello ataanzia benchi kidogo kuiboost rooster
Melo keshasema yeye hajioni akiwa bench player. Ila kwa mshiko atakaopewa na OKC, naamini atakubali tu mwishowe. Na itakuwa nzuri kwake.
 
Cavs walioshinda kwa point 1tena OT hawakupelekewa moto but GSW ndio wamepelekewa moto ?
Cavs walikuwa ugeni, kwenye home court ya number 1 team in the East. Pia walikuwa na siku 1 ya kupumzika after gritty game 7.
 
Cavs walikuwa ugeni, kwenye home court ya number 1 team in the East. Pia walikuwa na siku 1 ya kupumzika after gritty game 7.

Eventually Raptors will sweep trough the remaining fixtures, 4-1 to Raptors
 
Cavs walioshinda kwa point 1tena OT hawakupelekewa moto but GSW ndio wamepelekewa moto ?

BTW
GSW wameset standard kubwa sana mpaka wakishinda kwa point 5 inaonekana wamepelekeshwa
Yaani kuna watu GSW hawaipi nafasi kabisaaa ya kufika fainali...eti wanaoongelewa ni Rockets tu na Cavs! Wamesahau 2015! GSW Pamoja na kuongoza kwenye regular hakuna aliyewapa nafasi hata kiduchu na hata pale walipoitoa Cavs, excuses zilitolewa kibao. Nani aliwafahamu? Kwanza wote ilikuwa ni mara yao ya kwanza kucheza kwenye playoffs! Who the hell was Steph Curry!

Kwa stats, GSW wanaongoza kwa points, assists, blocks, FG% na FT% lakini bado haters hawaipi nafasi hata kidogo! Ni kweli GSW hawana bigs na ten-footers kama timu zingine lakini wana compensate katika speed and execution. It is a team many would love to watch. Siku Curry, Thompson na Durant watakapokuwa moto wote kwa pamoja, sijui kama kuna timu itawasogelea!
 
Yaani kuna watu GSW hawaipi nafasi kabisaaa ya kufika fainali...eti wanaoongelewa ni Rockets tu na Cavs! Wamesahau 2015! GSW Pamoja na kuongoza kwenye regular hakuna aliyewapa nafasi hata kiduchu na hata pale walipoitoa Cavs, excuses zilitolewa kibao. Nani aliwafahamu? Kwanza wote ilikuwa ni mara yao ya kwanza kucheza kwenye playoffs! Who the hell was Steph Curry!

Kwa stats, GSW wanaongoza kwa points, assists, blocks, FG% na FT% lakini bado haters hawaipi nafasi hata kidogo! Ni kweli GSW hawana bigs na ten-footers kama timu zingine lakini wana compensate katika speed and execution. It is a team many would love to watch. Siku Curry, Clay na Durant watakapokuwa moto wote kwa pamoja, sijui kama kuna timu itawasogelea!
Sijaona mtu wa kuwazuia GSW msimu huu pia CAVS hawapo vzr kbs kupambana na GSW
 
Mh! What a surprise! I didn’t expect Jazz to be in this position after 2 games. Houston better watch out!
 
Mh! What a surprise! I didn’t expect Jazz to be in this position after 2 games. Houston better watch out!
Nilisema na narudia...umdhaniye ndiye siye. Huu ni mwaka wa maajabu katika mchezo huu wa vikapu! Utah Jazz kamshinda Houston Rockets nyumbani kwao mbele ya mashabiki wao, duh!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baada ya kupoteza 19 points lead kati ya 2nd and 3rd quarter nikajua ndiyo basi tena wamechezea shilingi Chooni. Wako vizuri wakicheza kama leo basi Houston wako hatarini kuadhirika.

Nilisema na narudia...umdhaniye ndiye siye. Huu ni mwaka wa maajabu katika mchezo huu wa vikapu! Utah Jazz kamshinda Houston Rockets tena ugenini mbele ya mashabiki wao!
 
utah is a bad bad team!!Wamechomos tena nyumbani kwa Rockets!Naomba yajirudie ya kwetu OKC!!Even series to Game 6 tu Rockets atolewe
 
Mh! What a surprise! I didn’t expect Jazz to be in this position after 2 games. Houston better watch out!
And they starting PG Rubio yuko Injury.. Aisee na kule kwao na Dhani series inaweza rudi Houston ikiwa 2-2
 
Back
Top Bottom