Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A very bad game kwa kweli
Lebron was amazing, with the help of others issa W
Les go game 7
Celtics wali ipoteza toka second qWhy very bad game man?
Celtics wali ipoteza toka second q
Na walikuwa wanashindwa kufanya lolote la kuitia presha Cavs
Cavs walipokuwa wako threatened waliongoza pts 7. A very dead game
Yaan everything was badBut celtics have bad records on the road
So sikutegemea chochote kipya kutoka kwao
DuuuYaan everything was bad
Even the coaching was bad, i doubt watamtoa Lebron game 7
Anyway yyte atakaye pita kati yao ni loser wa final
Tena if ni Rockets they both got a chanceDuuu
Hiyo conclusion yako ya loser wa final ya kibabe kweli.
Nafikiri atakuwa loser kwa Rockets. Au unaonaje?
Pole? Naona nilipitiwa...hebu nikumbushe tena ni timu ipi hiyo ambayo imetwaa kombe!
Billy Walters II naona rumours za King kuondoka Cavs zinashika kasi sana!
Wanafananisha game 7 na last game cavs waliyofungwa na celtics 2010
Phils nami naona panamfaa sana.Game 7 vs Celtics James atashinda.
Kwa jinsi Cavs ilivyo sasa hivi LeBron hana maamuzi kwenye trades, na anaona hakuna uwezekano wa kumpa supporting cast ya kuchukua ubingwa.
LeBron ni showtime personnel, uwezekano ni mkubwa anaenda Lakers aungane na Paul George.
Sixers pia wana nafasi ya kumpata jamaa. Wana kikosi ambacho kinaweza kumpa ring 2.
That's right...not in Curry's HOUSE!Naona kimyaaaa humu, Q1: 39 - 22! In your own house?
With Warriors never ever count your chicks before they are hatched!Let’s go to work, Houston! [emoji1]
Naona umetoka mafichoni....allowing a game 7 is very bad for RocketsSina la kusema 106-81!