William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Ab-Tichaz,FMES,Nyani Ngabu,Yoyo,YE,...
..tangu Lebron atolewe basi Bubu-Ataka-Kusema naye ametususa.
..game ilikuwa nzuri kwa kweli. down to the wire!!
..nadhani Magic walifikiri wameshinda game na hicho ndicho kilichowaponza.
..Van Gundy naye anajutia maelekezo yake kwamba Magics wasi-foul kwenye ile sequence iliyopelekea Fisher kuchoma 3 pts.
..siwezi kusema Lakers ni mabingwa mpaka nione wamebeba trophy. kuna mwaka walikuwa up 3 -- 1 wakaja kushindwa na Phoenix Suns.
Hata Obama alitabiri hivyoIt's over haters....Lakers in 6, yeah, i said it!
Mazee leo series inakuwa concluded ..??
Orlando wakifanya mchezo, ngoma inakatika leo.
Orlando wakifanya mchezo, ngoma inakatika leo.
Leo Lakers lazima wamalize.
49 - 40 Lakers wako juu!!!
who are you rooting for?[/QUOTE
I'm the one who knows Lakers.