NBA Finals..L.A.Lakers Versus Orlando Magic.

- Fair game hii ni zamu ya Kobe hands down kwa champions Lakers!, sasa tusubiri dogo Hasheem atatinga wapi?

Respect.

FMEs!
 
Ab-Tichaz,FMES,Nyani Ngabu,Yoyo,YE,...

..tangu Lebron atolewe basi Bubu-Ataka-Kusema naye ametususa.

..game ilikuwa nzuri kwa kweli. down to the wire!!

..nadhani Magic walifikiri wameshinda game na hicho ndicho kilichowaponza.

..Van Gundy naye anajutia maelekezo yake kwamba Magics wasi-foul kwenye ile sequence iliyopelekea Fisher kuchoma 3 pts.

..siwezi kusema Lakers ni mabingwa mpaka nione wamebeba trophy. kuna mwaka walikuwa up 3 -- 1 wakaja kushindwa na Phoenix Suns.
 
Hii kitu kwishnei....Howard kushindwa kutundika zile basket mbili huku zikiwa zimebaki sekunde 11 ndipo game ilipokwisha. Ooh well...tusubiri Football sasa....New England wana line up kabambe mwaka huu (at least on paper)....
 
It's over haters....Lakers in 6, yeah, i said it!
 
Tatizo jingine la Magic ni kuwa kuna too many egos za kutaka kutake tough shots wakati hawana viwango..
 
Back
Top Bottom