Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
- #1,061
Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.
Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.
celtics washaanza ku-panic wakati mapemaa.
Celtics washaanza ku-panic wakati mapemaa.
Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.
na wakifungwa leo thats it.lakers hapa wanacheza kufa na kupona,Celtics wao wame relax tu kwa vile wanajua kuna second chance bila kukumbuka kwamba second chance yenyewe hawako guranteed kushinda.cheque yako inaonyesha itabidi isubiri kidogo.....
Celtics yani wana throw game hivi hivi wakati ndio kwanza second quarter.
Magoti yao yamejaa maji leo...so to speak!
this game is over already.
afadhali ingekuwa 10pts lakini 17pts nyingi sana..................
Mkuu usiwe na presha, bado kuna series finale.abdulhalim anachukua 50 dollar hivi hivi.