NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.
 
Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.

mkuu,umegoma kabisa kubet ingawa zimebaki gm 2 tena zote kwako?!!!kweli mwaka huu LA wamekuangusha.......
 
haya leo ni win or go home for LA....................
 
Wenger usikonde ukiniona sipo kwene hizo gemu za Staples Center ujue nakuandalia cheki..he he he..Series ikiisha nitaku-PM tuyamalize mwana.

ha ha ha wala sina wasi wasi mkuu sema kidogo naona Celtics hawajajiandaa leo kwahio nitavuta subira.
 
......LA wakizembea leo, celtics watachukua ushindi.Hebu ngoja tuone game litakuwaje.
 
cheque yako inaonyesha itabidi isubiri kidogo.....
na wakifungwa leo thats it.lakers hapa wanacheza kufa na kupona,Celtics wao wame relax tu kwa vile wanajua kuna second chance bila kukumbuka kwamba second chance yenyewe hawako guranteed kushinda.
 
jinga mtupu hawa celtics.i hope wataelekezwa vizuri huko na kocha wao manake utasema hawajui kama wakishinda wanakuwa mabingwa.

mie nitaendelea kuangalia 4th quarter ,3rd quarter yote na skip wameboa sana.
 
Duh game ishakuwa mbovu......haina upinzani..........ngoja nione 1st 5mins za 3rd 1/4 zitakuwaje..........
 
Back
Top Bottom