Too bad sielewi lugha za kilevi na walevi......
Kwa akili mbovu hu-deserve kabisa kuwa na "mchumba" kama yule, wewe anakufaa WOS na lile wig lake...hahahahaha i cant wait siku utakayomwagwa, nitafanya mzinga wa party yaani!....
Nenda kwa wajinga wenzako mkajadili Mengi, Rostam, na Somaiya...mambo haya huyawezi...
Nenda kwa wajinga wenzako mkajadili Mengi, Rostam, na Somaiya...mambo haya huyawezi...
Sasa na wewe unaanza kuleta zako za Ki Brian McKnight....sasa utachekelea nini? Dume gani huchekelea linapomwona dume lenzake limepigwa chini?
Unaanza kuntisha sasa....
Ofkoz nitafurahi, chizi kama wewe unafaa upate demu kama Asha Abdallah, muwe mnaongelea mafisadi hata wakati wa kutengeneza watoto.....
Kwa bahati mbaya kwako na nzuri kwangu hiyo haitatokea. Wewe endelea tu na mama Kayayiii.....
I see game imeanza na Boston wanatunguliwa na Orlando.
So far Orlando wanaongoza..lakini ndio kwanza bismillahi, ni mapema mno kuleta hizo!
I see game imeanza na Boston wanatunguliwa na Orlando.
Nyani una cable maana game ipo TNT.
hahaha ebanae I must admit hii talk of mafisadi is boring duh...Naona mtanange ushaanza...
Hahahahahahaaa...you got jokes! eti nina cable? Unacheza wewe
Nauliza tuu Swali nyani wala usikonde,maana leo asubuhi pia uliniambia mimi i was denying kwamba napenda Icadon.
tsk tsk tsk naona Celtics wanarudi taratibu wow amazing.
Kule babake kuna watu wametolea mimacho mpaka noma yaani....kesho nasikia Somaiya na Mengi nao wanakutana na waandishi wa habari!! Basi ndio itakuwa mi-press conference kama fasheni flani....
Celtics wanarudi wajameni....
Naona tuu kila mtu anatungua mipress conference wanachoongea ni utumbo.
Ndiyo kipindi cha kwanza i agree ila i dout kama Boston wataweza pull out kwa leo,ukitaka na ww tunaweza kuingia bet.
Unajua nataka kuuliza kila siku hivi yule jamaa wa Celtic amechora tatoo kwenye Kichwa?
Hawa watoto wa Bean tow wabishi
Hmmm..kwani score ni ngapi ngapi?