NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Kwa akili mbovu hu-deserve kabisa kuwa na "mchumba" kama yule, wewe anakufaa WOS na lile wig lake...hahahahaha i cant wait siku utakayomwagwa, nitafanya mzinga wa party yaani!....

Sasa na wewe unaanza kuleta zako za Ki Brian McKnight....sasa utachekelea nini? Dume gani huchekelea linapomwona dume lenzake limepigwa chini?

Unaanza kuntisha sasa....
 
Sasa na wewe unaanza kuleta zako za Ki Brian McKnight....sasa utachekelea nini? Dume gani huchekelea linapomwona dume lenzake limepigwa chini?

Unaanza kuntisha sasa....

Ofkoz nitafurahi, chizi kama wewe unafaa upate demu kama Asha Abdallah, muwe mnaongelea mafisadi hata wakati wa kutengeneza watoto.....
 
Ofkoz nitafurahi, chizi kama wewe unafaa upate demu kama Asha Abdallah, muwe mnaongelea mafisadi hata wakati wa kutengeneza watoto.....

Kwa bahati mbaya kwako na nzuri kwangu hiyo haitatokea. Wewe endelea tu na mama Kayayiii.....huku mimi nikijivinjari na super totos kama Kelly...

Haya naona keshaivisha pilau hapa....adios amigo see you manana....
 
Kwa bahati mbaya kwako na nzuri kwangu hiyo haitatokea. Wewe endelea tu na mama Kayayiii.....

Mie mtu wa "area codes" wewe coast to coast....summer haitaishi hii kabla ya wewe kupewa "chubwiiiiiiiiii"!! Ameen
 
I see game imeanza na Boston wanatunguliwa na Orlando.

Nyani una cable maana game ipo TNT.
 
So far Orlando wanaongoza..lakini ndio kwanza bismillahi, ni mapema mno kuleta hizo!

Ndiyo kipindi cha kwanza i agree ila i dout kama Boston wataweza pull out kwa leo,ukitaka na ww tunaweza kuingia bet.

Unajua nataka kuuliza kila siku hivi yule jamaa wa Celtic amechora tatoo kwenye Kichwa?
 
hahaha ebanae I must admit hii talk of mafisadi is boring duh...Naona mtanange ushaanza...

Kule babake kuna watu wametolea mimacho mpaka noma yaani....kesho nasikia Somaiya na Mengi nao wanakutana na waandishi wa habari!! Basi ndio itakuwa mi-press conference kama fasheni flani....

Celtics wanarudi wajameni....
 
Hahahahahahaaa...you got jokes! eti nina cable? Unacheza wewe

Nauliza tuu Swali nyani wala usikonde,maana leo asubuhi pia uliniambia mimi i was denying kwamba napenda Icadon.

tsk tsk tsk naona Celtics wanarudi taratibu wow amazing.
 
Nauliza tuu Swali nyani wala usikonde,maana leo asubuhi pia uliniambia mimi i was denying kwamba napenda Icadon.

tsk tsk tsk naona Celtics wanarudi taratibu wow amazing.

Utu uzima dawa, halafu mtu bwena uwanjani, hakuna hata sehemu ya kutema mate...hahahaha basi walugaluga wanashangaashangaa badala ya kucheza game lao.....

Leo ushindi ni kama kufa, watu wamechukua lead olalalalalalalalal...
 
Kule babake kuna watu wametolea mimacho mpaka noma yaani....kesho nasikia Somaiya na Mengi nao wanakutana na waandishi wa habari!! Basi ndio itakuwa mi-press conference kama fasheni flani....

Celtics wanarudi wajameni....

Naona tuu kila mtu anatungua mipress conference wanachoongea ni utumbo.
 
Naona tuu kila mtu anatungua mipress conference wanachoongea ni utumbo.

Utawakuta ndugu zako wakina nanilii mikamasi inawatoka, ukiuliza inakuwaje? wanasema ati wanakata ishu...ishu gani? Hamna kitu kibaya kama kuwa na muda kibao bila kujua nini cha kuufanyia muda huo!
 
Ndiyo kipindi cha kwanza i agree ila i dout kama Boston wataweza pull out kwa leo,ukitaka na ww tunaweza kuingia bet.

Unajua nataka kuuliza kila siku hivi yule jamaa wa Celtic amechora tatoo kwenye Kichwa?

Nani Marbury?? Kama ni yeye, jibu ni ndio!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom