NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Boston kwishnehi....ngoja niangalie mieleka ya WWE

haha babu bado unaangaliaga mieleka tuu? Last nimeangalia hizo kitu ni wakati wa mechi ya Undertaker na mjuba mmoja, jamaa akamsokomeza Undertaker kwenye jeneza lake alilokija nalo.
 
haha babu bado unaangaliaga mieleka tuu? Last nimeangalia hizo kitu ni wakati wa mechi ya Undertaker na mjuba mmoja, jamaa akamsokomeza Undertaker kwenye jeneza lake alilokija nalo.

Si ndio hapo! Jamaa mpaka leo bado anaangalia "Monday Night Raw." Kaazi kweli, sijui atakuwa lini!!

Naona musee wa "Peoples Elbow" anataka masifa kaa nini sijui.....lakini game bado sana, Celtics wataibuka tu!
 
Duh naona Boston wanachomwa tu vikapu. Haki ya nani vile....
 
Kupata kipigo kama hiki tena ukiwa nyumbani kwako ni aibu kubwa. Inabidi wacheze katika kiwango cha juu sana katika game 2 vinginevyo Celtics wanawezwa kuwa sweep au Orlando kuchukua series baada ya 5 games. Nangoja mchezo unaufuata nione mpambano kati ya Yao Ming na Bynum.
 
Si ndio hapo! Jamaa mpaka leo bado anaangalia "Monday Night Raw." Kaazi kweli, sijui atakuwa lini!!

Naona musee wa "Peoples Elbow" anataka masifa kaa nini sijui.....lakini game bado sana, Celtics wataibuka tu!

Tulia wewe....hebu safisha macho hapa.....

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=gBHBt8M0NQU]YouTube - Hurricane Chris "Halle Berry" (Shes Fine) Official Music Video[/ame]

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=KvPwKDW6Stg]YouTube - Halle Berry dancing to "She's Fine" on Ellen[/ame]
 
In Boston, We believe........its a 10 points game!! Go Celtics!
 
Acha njozi wewe...mwangalie Halle Berry hapo (na wewe kuapata totoz kama huyu ni njozi)

Nenda kule kwa mafisadi ukamlambelambe miguu "kaka yako" Mwanakijiji...mie na nyapu, Halle anaonekana "tx" flani!

We believe, its a six points game..go Celtics!
 
Last edited:
Nenda kule kwa mafisadi ukamlambelambe miguu "kaka yako" Mwanakijiji...mie na nyapu, Halle anaonekana "tx" flani!

We believe, its a six points game..go Celtics!

Nyamaza mbunyeye wewe...unazingatia muda au umeshalewa?
 
Heheh pole Sasha naona mmechezea kichapo!
 
Heheh pole Sasha naona mmechezea kichapo!

tsk tsk tsk tsk (like she put it)....naona leo Sasha kagoma kuja barazani...

Eti Sasha, ni kweli kuwa 80% ya timu inayoshinda gemu 1 inashinda series?
 
tsk tsk tsk tsk (like she put it)....naona leo Sasha kagoma kuja barazani...

Eti Sasha, ni kweli kuwa 80% ya timu inayoshinda gemu 1 inashinda series?

Who cares na hizo stats? Unakumbuka finals za 2001 kati ya Lakers na Sixers? Au bado ulikuwa unaangalia ITV bongo?
 
Who cares na hizo stats? Unakumbuka finals za 2001 kati ya Lakers na Sixers? Au bado ulikuwa unaangalia ITV bongo?

Bwahahahahahahaha, alikuwa Dallas anambebea koti Mponjoli!! Wakati watu wanaangalia game ndani, yeye alikuwa anakaa nje kupiga chabo ya Po-po wasiwapige ambush...LOL
 
Bwahahahahahahaha, alikuwa Dallas anambebea koti Mponjoli!! Wakati watu wanaangalia game ndani, yeye alikuwa anakaa nje kupiga chabo ya Po-po wasiwapige ambush...LOL

Ahahahahahaaa....duh! Kumbe jamaa alikuwa boy wa Mponjoli? Ahahahahaa...ndio maana jamaa yuko sensitive kaa demu na mambo yake ya ki Brian McKnight. Watu kama hawa ndio zile dizaini za "kulia" akiachwa na demu....kwikwikwiiiiiiiiiiiiiii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…